Mtanzania kufia Ukraine Tanzania iidai Urusi fidia

Mtanzania kufia Ukraine Tanzania iidai Urusi fidia

Tanzania hipi? Usitake kuchonganisha serikali na wananchi wake. Wamarekani na wa ulaya wanauwa kila siku na hao mabeberu hawana ubavu wa kudai fidia ije iwe tanzania?

Sema serikali yetu ya kijinga. Kwa sheria za kimataifa huwezi kumtumia Rais wa nchi nyingine kwenye jeshi lako. Happ Balozi wa Urusi alitakiwa atoe tamko.
 
Samiah ana lipi la maana, zaidi ya kutukuzwa na machawa wake?
May be hii ni ID nyingine ya BRAZAJ, then https://jamii.app/JFUserGuide YOU! Nitamchagua Samia over Mbowe/Lisu in all of my sober days kuliongoza taifa hili! For you just https://jamii.app/JFUserGuide YOU, Hujui unaongea nini
 
Kila asiyekuwa chawa wa Mama siyo brazaj. Kama ndivyo basi kwenye server za JF Nina ID maelfu.

Uchawa ni machukizo ndugu. Chawa ni vijana wa hovyo msiokuwa na mchango wowote wa maana kwa taifa hili.

Zaidi ya kuwaza ngono kwani mna nini wapi?

Hivi taifa hili likiwa la usawa na haki mnapata hasara gani? Haki na usawa wa watu wote kokote zikipiganiwa ninyi mna umia wapi?

"Haki ya Nemes hata katika kifo kama ipo ikipiganiwa ninyi mnaathirika wapi?"

Hivi hata huwa mnajitafakari wenyewe binafsi?

ZInfatia: hayupo mwenye akili timamu anayeweza kuwapa chawa pongezi.
 
Waisrael wanathamini sana raia wao hawawezi kukubali raia wao afe then utolewe ufafanuzi finyu kama huo kutoka kwa waliompeleka vitani halafu waridhike never.Balozi wa urusi hapa tz angeitwa na kuambiwa atoe maelezo ya kina na nchi yake ilipe fidia kwa kukiuka mikataba ya kimataifa kuhusu haki za wafungwa
Safi kabisa
 
Mtu akifa kumbe huwa kuna fidia? Hebu tuambie tujue, maiti huwa inafidiwa kiasi gani cha pesa?
Kwenye hili mtahitaji watu wa falsafa na maadili😂😂
Ninafatilia mtanange huu kwa karibu sana akijibu naomba unitag mkuu
 
Kwenye hili mtahitaji watu wa falsafa na maadili😂😂
Ninafatilia mtanange huu kwa karibu sana akijibu naomba unitag mkuu
Mabandiko #18 na #71 Kwa uchache yana majibu kwa hoja hiyo. Kwani unafuatilia mtanange huu ukiwa huu ukiwa Kremlin au St. Pittsburgh?
 
Mabandiki #18 na #71 Kwa uchache yana majibu kwa hoja hiyo. Kwani unafuatilia mtanange huu ukiwa huu ukiwa Kremlin au St. Pittsburgh?
Nilikuwa nasubiri umjibu kuhusu ni kiasi gani cha fidia marehemu hulipwa

Huo ndio nimeita mtanange mkuu
 
Mabandiki #18 na #71 Kwa uchache yana majibu kwa hoja hiyo. Kwani unafuatilia mtanange huu ukiwa huu ukiwa Kremlin au St. Pittsburgh?
Nimeona hayomabandiko mkuu
Wote mmesema kuwa kuna malipo, sawa sikatai

Ila swali ni kiasi gani?
 
Mtanzania mwenzetu kafia Ukraine kwa niaba ya Russia.

Kulikoni Serikali ya Urusi ikamfikisha Mtanzania mwenzetu huko vitani ndani ya kombati zake?

Wako wapi wanasheria wetu?

Haipo fursa ya maana hapa dhidi ya Putin?
unajua wakati mwingine mnahoji vitu ambavyo ni useless.kwani umejiuliza ni nani aliyemwambia au kumshawishi ajiunge na hilo jeshi binafsi la wagner?kama wazazi wake wanasema alienda masomoni ni wanafunzi wangapi wa kitanzania waliojiunga na jeshi hilo.watz huwa tuwaza kujitajirisha ki wepesi wepesi bila kufikiria madhara yatayo.tusubiri ubalozi wetu umesema utatoa maelezo from there tutajadili.
 
Hukusikia huko alikuwa shule? Kwenda shule ni kiherehere ila kula ugali huku na kushiba ndiyo ujanja?

Uliwahi kusikia watu wametekwa na kulazimishwa kupigana bega kwa bega upande wa adui? Wewe unajua je kuwa vitani alikwenda Kwa ridhaa yake?

Wivu wenu huu siyo ule uliotambuliwa na Mheshimiwa Six?
Kasikilize walichosema familia yake acha kuongea vitu havipo unaonekan mjinga. Alienda kusoma akafany kosa akafungwa ikaja offa ya kupigana akachagua kupigana though familia yake ilimshaur asifanye hivyo.
 
Ata kesi yake ina mashaka sidhani ukifanya criminal profiling ya wauza madawa ya kulevya duniani utapata sample ya watu wenye degree ya engineering na tena wanajiongeza na masters.

It just doesn’t add up kwa level ya elimu yake kushawishika kuuza madaya mtaani halafu nchi ya kigeni, it takes a lot to be a street dealer nchi za ugenini ata ukienda Kenya tu seuse huko Russia.

Sijiapizi kwa vitu na watu nisiowafahamu, ila common sense says it’s odd kwa elimu yake kuuza kete za mtaani kwa gram alizoshikwa nazo.
SAS kama mtu kakubali kwenda vitan why usiamin alikamatwa na dawa za kulevya kisa elim
 
unajua wakati mwingine mnahoji vitu ambavyo ni useless.kwani umejiuliza ni nani aliyemwambia au kumshawishi ajiunge na hilo jeshi binafsi la wagner?kama wazazi wake wanasema alienda masomoni ni wanafunzi wangapi wa kitanzania waliojiunga na jeshi hilo.watz huwa tuwaza kujitajirisha ki wepesi wepesi bila kufikiria madhara yatayo.tusubiri ubalozi wetu umesema utatoa maelezo from there tutajadili.

Mkuu useful si lazima viwe tu vinavyokuhusu wewe. Hapo ndipo tofauti za ubinadamu na unyama zilipo.

Wagner inafanya kazi zake kutokea Urusi ikipigana kwa niaba ya Urusi. Wagner haina vita bali Urusi.

Wewe unataka tujikite na kumjadili mbwa badala ya mwenye mbwa?

Kwamba tutapewa ripoti baada ya uchunguzi au maelezo ya ubalozi? Maelezo ya chunguzi zipi uliwahi kuzisikia wewe tokea serikali hii? Kulikoni kutaka kutufunga midomo?

Mjinasue vipi ninyi kwenye ukweli kuwa zaidi ya kulamba asali uwajibikaji wenu Kwa raia haupo?
 
Hii hiari yake uthibitisho uko wapi? Hivi Russia inao askari wengine watanzania wangapi jeshini kwake au kututaarifu tu wakifa ndipo unapoishia wajibu wake?

Kama serikali kuwajibika Kwa watu wake ni wehu ila kulamba asali serikali za hivi Zina umuhimu gani kwetu?
Kasikilize familia yake nin imesema ndo utajua ni hiari au nn
 
Na wew unaushahid gani urusi ilimlazimisha kwenda vitani?
Cha kwanza alikuwa mfungwa. Mfungwa hana maamuzi wala uchaguzi. Hadi kupiga kura bongo hayuko eligible.

Weka wako sasa kuwa alikwenda kwa ridhaa yake.
 
Kasikilize familia yake nin imesema ndo utajua ni hiari au nn
Familia ya nani ina cha kufanya na jinai? Yalikataliwa ya Kingai na wenziwe mahakamani sembuse ya wamasai uchwara mnaowakusanya kutokea kusikojulikana kuwa ni wakazi wa Ngorongoro?
 
Back
Top Bottom