econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Kama alilazimishwa, uthibitisho upo wapi?
Common sense alikuwa mfungwa. Sasa mfungwa atajiamulia au anaamuliwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama alilazimishwa, uthibitisho upo wapi?
Tanzania hipi? Usitake kuchonganisha serikali na wananchi wake. Wamarekani na wa ulaya wanauwa kila siku na hao mabeberu hawana ubavu wa kudai fidia ije iwe tanzania?
Wewe naye ni mburula.Ieleweke alikuwa ni mfungwa hapo wa kujibu ni CHADEMA
May be hii ni ID nyingine ya BRAZAJ, then https://jamii.app/JFUserGuide YOU! Nitamchagua Samia over Mbowe/Lisu in all of my sober days kuliongoza taifa hili! For you just https://jamii.app/JFUserGuide YOU, Hujui unaongea niniSamiah ana lipi la maana, zaidi ya kutukuzwa na machawa wake?
May be hii ni ID nyingine ya BRAZAJ, then https://jamii.app/JFUserGuide YOU! Nitamchagua Samia over Mbowe/Lisu in all of my sober days kuliongoza taifa hili! For you just https://jamii.app/JFUserGuide YOU, Hujui unaongea nini
Safi kabisaWaisrael wanathamini sana raia wao hawawezi kukubali raia wao afe then utolewe ufafanuzi finyu kama huo kutoka kwa waliompeleka vitani halafu waridhike never.Balozi wa urusi hapa tz angeitwa na kuambiwa atoe maelezo ya kina na nchi yake ilipe fidia kwa kukiuka mikataba ya kimataifa kuhusu haki za wafungwa
Kwenye hili mtahitaji watu wa falsafa na maadili😂😂Mtu akifa kumbe huwa kuna fidia? Hebu tuambie tujue, maiti huwa inafidiwa kiasi gani cha pesa?
Mabandiko #18 na #71 Kwa uchache yana majibu kwa hoja hiyo. Kwani unafuatilia mtanange huu ukiwa huu ukiwa Kremlin au St. Pittsburgh?Kwenye hili mtahitaji watu wa falsafa na maadili😂😂
Ninafatilia mtanange huu kwa karibu sana akijibu naomba unitag mkuu
Nilikuwa nasubiri umjibu kuhusu ni kiasi gani cha fidia marehemu hulipwaMabandiki #18 na #71 Kwa uchache yana majibu kwa hoja hiyo. Kwani unafuatilia mtanange huu ukiwa huu ukiwa Kremlin au St. Pittsburgh?
Nimeona hayomabandiko mkuuMabandiki #18 na #71 Kwa uchache yana majibu kwa hoja hiyo. Kwani unafuatilia mtanange huu ukiwa huu ukiwa Kremlin au St. Pittsburgh?
Ngoja wenye kikotoo watuletee mwongozo.Nimeona hayomabandiko mkuu
Wote mmesema kuwa kuna malipo, sawa sikatai
Ila swali ni kiasi gani?
Ewaa hapo hapo ndipo nilipakusudiaNgoja wenye kikotoo watuletee mwongozo
unajua wakati mwingine mnahoji vitu ambavyo ni useless.kwani umejiuliza ni nani aliyemwambia au kumshawishi ajiunge na hilo jeshi binafsi la wagner?kama wazazi wake wanasema alienda masomoni ni wanafunzi wangapi wa kitanzania waliojiunga na jeshi hilo.watz huwa tuwaza kujitajirisha ki wepesi wepesi bila kufikiria madhara yatayo.tusubiri ubalozi wetu umesema utatoa maelezo from there tutajadili.Mtanzania mwenzetu kafia Ukraine kwa niaba ya Russia.
Kulikoni Serikali ya Urusi ikamfikisha Mtanzania mwenzetu huko vitani ndani ya kombati zake?
Wako wapi wanasheria wetu?
Haipo fursa ya maana hapa dhidi ya Putin?
Kasikilize walichosema familia yake acha kuongea vitu havipo unaonekan mjinga. Alienda kusoma akafany kosa akafungwa ikaja offa ya kupigana akachagua kupigana though familia yake ilimshaur asifanye hivyo.Hukusikia huko alikuwa shule? Kwenda shule ni kiherehere ila kula ugali huku na kushiba ndiyo ujanja?
Uliwahi kusikia watu wametekwa na kulazimishwa kupigana bega kwa bega upande wa adui? Wewe unajua je kuwa vitani alikwenda Kwa ridhaa yake?
Wivu wenu huu siyo ule uliotambuliwa na Mheshimiwa Six?
Na wew unaushahid gani urusi ilimlazimisha kwenda vitani?Una uhakika gani alijiunga na Urusi kupambana na Ukraine kwa ridhaa yake?
SAS kama mtu kakubali kwenda vitan why usiamin alikamatwa na dawa za kulevya kisa elimAta kesi yake ina mashaka sidhani ukifanya criminal profiling ya wauza madawa ya kulevya duniani utapata sample ya watu wenye degree ya engineering na tena wanajiongeza na masters.
It just doesn’t add up kwa level ya elimu yake kushawishika kuuza madaya mtaani halafu nchi ya kigeni, it takes a lot to be a street dealer nchi za ugenini ata ukienda Kenya tu seuse huko Russia.
Sijiapizi kwa vitu na watu nisiowafahamu, ila common sense says it’s odd kwa elimu yake kuuza kete za mtaani kwa gram alizoshikwa nazo.
unajua wakati mwingine mnahoji vitu ambavyo ni useless.kwani umejiuliza ni nani aliyemwambia au kumshawishi ajiunge na hilo jeshi binafsi la wagner?kama wazazi wake wanasema alienda masomoni ni wanafunzi wangapi wa kitanzania waliojiunga na jeshi hilo.watz huwa tuwaza kujitajirisha ki wepesi wepesi bila kufikiria madhara yatayo.tusubiri ubalozi wetu umesema utatoa maelezo from there tutajadili.
Kasikilize familia yake nin imesema ndo utajua ni hiari au nnHii hiari yake uthibitisho uko wapi? Hivi Russia inao askari wengine watanzania wangapi jeshini kwake au kututaarifu tu wakifa ndipo unapoishia wajibu wake?
Kama serikali kuwajibika Kwa watu wake ni wehu ila kulamba asali serikali za hivi Zina umuhimu gani kwetu?
Cha kwanza alikuwa mfungwa. Mfungwa hana maamuzi wala uchaguzi. Hadi kupiga kura bongo hayuko eligible.Na wew unaushahid gani urusi ilimlazimisha kwenda vitani?
Familia ya nani ina cha kufanya na jinai? Yalikataliwa ya Kingai na wenziwe mahakamani sembuse ya wamasai uchwara mnaowakusanya kutokea kusikojulikana kuwa ni wakazi wa Ngorongoro?Kasikilize familia yake nin imesema ndo utajua ni hiari au nn