Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Tabia yake kutokana na maelezo ya ndugu zake ni mtu anaependa secluded life, sio wa kujichanganya, hana marafiki wengi, amesoma degree ngumu, haujui mji vizuri (it takes knowledge ya mitaa kusukuma kete), age yake doesn’t fit with the usual profile.SAS kama mtu kakubali kwenda vitan why usiamin alikamatwa na dawa za kulevya kisa elim
Ni ngumu sana kuamini kama huyo mtu anaweza sukuma kete.
Kuhusu kuingia vitani hilo swala limeongelewa sana na vyombo vya kimataifa how Russia is forcefully using jail inmates to engage in the war.
Sasa hujui mtu alikuwa kwenye position gani mentally kukaa jela bila ya kesi kusikilizwa miezi nenda miezi rudi is stressful enough na wala hujui mahusiano yake na wafungwa, wala aina ya jela yenyewe sehemu zingine lockup ni 23 hours.
Ndio shida ya kupeleka diplomats kwa kupendeleana na kuacha trained civil servants fit for those posts. Yaani mwanafunzi yupo jela ubalozi haujui kijana wa watu anatumiwa kama chombo na vita ya wengine na mpaka anafariki hawana habari.
Bongo poa tu, ila hii skendo nchi nyingine inaondoka na ajira za watu kadhaa, very incompetent people.