S samsolo the great JF-Expert Member Joined Jul 9, 2021 Posts 750 Reaction score 1,086 Jan 26, 2023 #141 Maulaga59 said: Maiti huwa anafidiwa kwa shilingi ngapi eti? Click to expand... Ndugu zake au nchi inaweza fidiwa hujasikia Ujerumani wana mpango wa kurudisha mafuvu ya wapiganaji wa Afrika mashariki waliouawa karne ya 19 na kuna wito wa kulipwa fidia?
Maulaga59 said: Maiti huwa anafidiwa kwa shilingi ngapi eti? Click to expand... Ndugu zake au nchi inaweza fidiwa hujasikia Ujerumani wana mpango wa kurudisha mafuvu ya wapiganaji wa Afrika mashariki waliouawa karne ya 19 na kuna wito wa kulipwa fidia?