TANZIA Mtanzania Mansoor Daya Afariki Dunia, alianzisha kiwanda cha kwanza cha Madawa Afrika Mashariki 1962

TANZIA Mtanzania Mansoor Daya Afariki Dunia, alianzisha kiwanda cha kwanza cha Madawa Afrika Mashariki 1962

Nimtu yoyote aliyekuwepo miaka mi5 kabla inchi haijapata uhuru.
Ushawahi kumsikia mtu mmoja anaitwa Azim Premji? Nina imani unamjua Jenerali Ulimwengu, hawa walizaliwa hapahapa Tanzania mmoja kazaliwa Dodoma na mwingine kazaliwa Kagera walizaliwa miaka mingi tu iliyopita kabla uhuru yaani walikuwepo kwa zaidi ya hiyo miaka 5 unayosema lakini kufika miaka ya 1990's ilibainika sio Watanzania na ikabidi waombe uraia wa Tanzania.
 
1715964643610.png

Taifa limepoteza mzalendo aliyethubutu kuwa na viwanda wakati wa ujamaa hadi baba wa taifa akakubali kuwa kuna mchango wa watu binafsi ndani ya siasa ya ujamaa na kujitegemea ni kiwanda hiki kilionesha kwa vitendo dhima halisi ya nchi kujitegemea kwa kuamini mtanzania mmoja mmoja anaweza kuchangia maendeleo historia inaonesha wazi tunaposoma maisha ya Mzee Mansoor Daya.

Mzee Daya anasema tangu mwaka 1962 alikuwepi katika gemu la kuzalisha dawa muhimu kwa watanzania wenzake


View: https://m.youtube.com/watch?v=BXceWTn168I
 
Kwani mtanzania ni nani?
Kafe India leo uone kama utaitwa Muhindi.

Kwa mimi nisieenda shule naamini Mtanzania ni mweusi hao ngozi za kugeuzwa wamekuwa Watanzania kwa kujikuta wamezaliwa hapa na Utanzania wao wanapewa na kitu so called katiba iliyotungwa na wanasiasa nje ya hapo huwezi sema ni Watanzania pure.
 
Pole yao wanafamilia.

Kweli tuna mabilionea wengi wasio weusi nchi hii.
Siku wakiondoka na kurudi kwao tutarudi nyuma miaka 50.
Warudi kwao wapi? Kwani wewe una hatimiliki ya Tanzania?
Mtu kaanza kuwekeza miaka 1962 wakati mababu zetu weusi wakishindana kulewa ulanzi halafu unamshukia utanzania wake? Huyo alikuwepo kabla hata ya Tanzania kuzaliwa.
 
Back
Top Bottom