TANZIA Mtanzania Mansoor Daya Afariki Dunia, alianzisha kiwanda cha kwanza cha Madawa Afrika Mashariki 1962

Tunawahitaji Wahindi sana tu
 
Kafe India leo uone kama utaitwa Muhindi.
Hawatoniita kwa sababu ni kweli mimi sio mzawa wa India wala sio raia wao kabisa.
naamini Mtanzania ni mweusi hao
Kwahiyo kuwa mweusi tu basi wewe ni mtanzania? Mtu mweusi gani ni mwenyeji halisi hapa Tanzania? Mbantu au? Maana wabantu asili yao inasemekana ni Afrika Magharibi. Wasomali waliozaliwa hapa pia wanaingia? Au wao sio weusi?
huwezi sema ni Watanzania pure.
Mtanzania "pure" ni nani? Ukisema mtu mweusi, mweusi yupi? Unawazungumzia vipi waliochanganya damu? Kama wa kuja sio "pure" makabila mengi hapa ni wakuja pia. Tena wengine wapo hapa kuanzia karne ya 19 tu sikuambii ya 20. Kuna wahindi wazee wao wapo hapa kabla hata mjerumani hajaja. Yaani kuna watanzania "pure" wamewakuta hapa. Kuna washirazi wapo hapa kabla hata wareno akina Vasco Da Gama hawajaja. Kuna washirazi walikimbia Iran huko kuja Kilwa waliwakimbia mashia wa Safavid tokea karne ya 16 huko mwanzoni. Na wakaja kuchanganyika na waliowakuta . Kama ni utanzania pure wao ni watanzania pure kuliko wengi wetu
 
Kwani Elon Musk kwa asili ni wa wapi mbona ndio anayeibeba USA kwa sasa?au Rishi Sunak yule waziri mkuu wa uingereza ana asili ya wapi?tuache kuishi kama hatukwenda shule,na kupinga kila kitu...
Mhindi ni mtu wa fursa yeye anaishi kokote hata kama moyo wake haupo hapo ili mradi afanikishe lake lakini kaa ukijua huyo siyo mwenzako, ukimuona mhindi ni mzalendo wa kweli ujue huyo ni chotara wa mzazi mmoja mwafrika na hana historia ya familia yake ya uhindini hata hivyo huwa wanabaguliwa sana na wahindi original.
Hakuna mhindi pure na tajiri anayejivunia Utanzania.
 
Kuna mhindi alikua fundi kushona kariakoo,akaenda marekani akawa na kiwanda Cha nguo,akawa na pesa nyingi,siku akaipa serikali ya Nyerere mamilioni ya Dola,akisema yeye hazihitaji,huyu na daudi balali, Andrew chenge,mkapa nani anaipenda Tanzania!?
 
Fanya utafiti wako vizuri. Mansoor Daya ni raia wa Canada.
 
Acha uwongo wewe,ulimwengu mtanzania wa ngara,mkapa alimpora uraia 2000s kisa alikua anaanika ufisadi wake,aliuza shirika la ndege kwa thamani ya beberu 11
 
Nliombaga kaz hapo kama mara mbil sikuitwa pengne jina langu liliniengua moja kwa moja ila angenipa kaz ANGEJIVUNIA uwepo wangu...Am man of action.....!!!
 
R.i.p daya

Utakumbuka kwa Brand's zako za dawa Kama..

SEDITON SYRUP YELLOW & GREEN
PIRITON TABS (SEDITION TABS)
EMDELIN SYRUP PEDREATIC
EMDELIN SYRUP ADULT
EMDEMOL SYRUP (PARACETAMOL)
HEMATONE SYRUP
Hizi Ni baadhi Kati ya dawa nyingi sanaa za Mansoor daya
 
M
Kuna mhindi alikua fundi kushona kariakoo,akaenda marekani akawa na kiwanda Cha nguo,akawa na pesa nyingi,siku akaipa serikali ya Nyerere mamilioni ya Dola,akisema yeye hazihitaji,huyu na daudi balali, Andrew chenge,mkapa nani anaipenda Tanzania!?
Muhindi, kwasababu Pesa yake ni ya jasho sio ya Utapeli na Ufisadi

Watu weusi wengi ni jamii ya HOVYO kuliko jamii zote Duniani

Wanajua tu kuzaliana, kuiba na kufanya ujinga ujinga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…