Mtanzania Melchior Dominic Mahinini anayesomea ukasisi nchini Nigeria atekwa na waasi

nigeria taifa la kifala sana waje wafundishwe huku kwetu masuala ya usalama na intelejensia.
YAmekalia utapel tu na uzinzi kulinda watu na kutekeza vikund vya ugaidi yanashindwa
Hapa Bongo mmushukuru mmarekani tu kuwaibia na kuwalinda lasivyo Bongo usalama ni mdogo,ukitaka kuamini ni pale utaposhuhudia majambazi yakivamia sehemu Polisi huja baada ya tukio[emoji16][emoji1666]
 
We don't negotiate with terrorists,serikali isilipe hiyo pesa maana ni kuwapa ushindi. Bora tutumie billion 10 kumuokoa Kwa njia nyengine kuliko kuwalipa hao watekaji pesa,watazoea.
Kwa kodi ya nani,kwani wakatoliki sadaka zetu hupeleka wapi si wamtoe?
 
Sasa naanza kuamini hizi dini ni mchongo,hivi hawa si wanatuambia wakifa wanaenda mbinguni? Pia si wanasema tumshirikishe Mungu kwa kila jambo mbona wasimshirikishe ili atende miujiza ikibidi watekaji wageuke majivu?[emoji2357]
 
Pia Nigeria ukiristo umeshamili[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…