Mtanzania Melchior Dominic Mahinini anayesomea ukasisi nchini Nigeria atekwa na waasi

Mtanzania Melchior Dominic Mahinini anayesomea ukasisi nchini Nigeria atekwa na waasi

They don't need food? Who finances them?🤷🏿‍♂️
Who knows? ... Even Americans are my suspects! .... they always need a false flag operation (or a number of them), ... especially now when they terribly need to engage ECOWAS ...!
 
Ni kikundi cha kiislamu mkuu, ransom wanataka sababu ni kanuni ya kidini na pia lazima wale na wanunue silaha nk
Kanuni ya kidini kuteka watu na kudai ransom? Nafikiri fidia inadaiwa kwa mateka wa kivita tu
 
nyie si ma freemasons na tunajua huko pesa ni kitu cha kawaida ?
Unaweza ku prove huo uhusiano au ni nadharia ambayo ina sound vizuri masikioni? Ukweli huwa una humble wajinga.
 
Wapi wametajwa kuwa ni Waislam? Nigeria ni nchi ina magenge mengi ya kihalifu na kigaidi na hayajinasibishi kabisa na Uislam. Na huwa yanateka watu na kulazimisha yatumiwe pesa yawaachie huru. Yanaua watu wasio na hatia pia mpaka kanisani.

Kuna magenge ya kigaidi kama Indigenous People of Biafra (IPOB) na Eastern Security Network (ESN) ambayo yanapambania kujitenga na Nigeria na yanaua watu wasio na hatia. Bado kuna magenge mengi.

Na hata kama ingelikuwa ni Boko Haram, ambao wanajinasibisha na Uislam, Uislam uko mbali nao hao khawaaarij ambao huwaua watu wasio na hatia na wengi wanaouliwa na hawa mbwa wa motoni ni Waislam.
Umeelezea vizuri,waislamu pia wanatekwa na kuuliwa na hayo.magenge.Magaidi wapo wa kwa mgongo wa dini zote na wasiokuwa na dini.
 
Mara nyingi eneo kukiwa na vikundi vya uasi watu hutumia mwanya huo kutekana na kuwaangushia jumba bovu. Kama ambavyo kipindi cha magonjwa ya milipuko kama Corona ,watu humalizana kwa sumu na jumba huangushiwa Corona. Mi Muislam, naomba apatikane salama na Mwenyezi mungu amuongoze. Miaka 23 aloishi Mtume (s.a.w) hajawahi kuvamia kanisa na kuteka mtu
.Huyu katekwa na watu wa karibu yake.Mtu wa mbali hawezi kujua habari zako.
 
Unaweza ku prove huo uhusiano au ni nadharia ambayo ina sound vizuri masikioni? Ukweli huwa una humble wajinga.
labda wewe hauishi duniani ndio maana unauliza maswali ya kijinga
 
Kama kweli hiyo dini n ya kweli basi huyo mungo wake amtete sio kuleta brabra,
 
Back
Top Bottom