Mtanzania Melchior Dominic Mahinini anayesomea ukasisi nchini Nigeria atekwa na waasi

Mtanzania Melchior Dominic Mahinini anayesomea ukasisi nchini Nigeria atekwa na waasi

Wakimuomba Mungu watekaji wataachia salama baada ya roho za utekaji kutoweka
 
nigeria taifa la kifala sana waje wafundishwe huku kwetu masuala ya usalama na intelejensia.
YAmekalia utapel tu na uzinzi kulinda watu na kutekeza vikund vya ugaidi yanashindwa
Mbona panyaroad na vibaka tumewashindwa
 
Weka maneno ya akiba usiandike kama mjinga , uvamizi wa kanisa Geita baada ya tukio kutokea watu wajinga kama wewe walijitokeza na kuanza kuleta shutuma pasipo na ushahidi ila baada ya ukweli kujulikana wakapoteana .

Hata kama wakiwa waislamu watakuwa ni watu wasio na akili kwa kufanya tukio kama hilo wala halihusiani na dini na wala haifai kujumuisha waislamu kwa ujumla wao.
Huyo katekwa na wenzake wa karibu.Ukichunguza tu,kwa mwenye akili,ataona huu ni mpango wa ndani.Mtu wa nje,atamjuaje huyu ni mgeni,!na anatoka wapi,na anahusika na nini,na huko aliko wana uwezo wa kulipa pesa ndefu?
 
Serikali ya Tanzania yenyewe kutwa inatetewa na magaidi. Sijui kama ata wana habari.

Sina ila kuna mambo yanakera sana alafu wao kutwa kulalamika wanaonewa.

Waislam wana shida sana.

Halafu baadaye mna lia lia oooooh dini yetu ni ya amani....Rubbish

Wapi wametajwa kuwa ni Waislam? Nigeria ni nchi ina magenge mengi ya kihalifu na kigaidi na hayajinasibishi kabisa na Uislam. Na huwa yanateka watu na kulazimisha yatumiwe pesa yawaachie huru. Yanaua watu wasio na hatia pia mpaka kanisani.

Kuna magenge ya kigaidi kama Indigenous People of Biafra (IPOB) na Eastern Security Network (ESN) ambayo yanapambania kujitenga na Nigeria na yanaua watu wasio na hatia. Bado kuna magenge mengi.

Na hata kama ingelikuwa ni Boko Haram, ambao wanajinasibisha na Uislam, Uislam uko mbali nao hao khawaaarij ambao huwaua watu wasio na hatia na wengi wanaouliwa na hawa mbwa wa motoni ni Waislam.
 
Mara nyingi eneo kukiwa na vikundi vya uasi watu hutumia mwanya huo kutekana na kuwaangushia jumba bovu. Kama ambavyo kipindi cha magonjwa ya milipuko kama Corona ,watu humalizana kwa sumu na jumba huangushiwa Corona. Mi Muislam, naomba apatikane salama na Mwenyezi mungu amuongoze. Miaka 23 aloishi Mtume (s.a.w) hajawahi kuvamia kanisa na kuteka mtu
 
Kijana Mtanzania ametekwa huko Nigeria na watu wenye Silaha. Kijana huyu anayeitwa Melchior ni Mseminary aliyeenda Nigeria kwa ajili ya Mafunzo ya Upadri. Juzi Parokia ya Mt Luka aliyokuwa akiishi ilivamiwa akachukuliwa yeye na Padri Mwingine.


----

Mtanzania ambaye ni frateri wa Shirika a Wamisionari wa Afrika (White Fathers) mzaliwa wa Parokia ya Kabanga, Jimbo la Kigoma, Melkiori Mahinini (27) ametekwa nyara na watu wasiojulikana chini Nigeria.

Kwa mujibu wa taarifa ilivotolewa na Askofu wa Jimbo Katoliki la Kigoma, Joseph Mlola, mseminari huyo alikamatwa Agosti 4 mwaka huu katika jimbo la Minna huko Nigeria akiwa na mwenzake, Padri Paul Sanogo, raia wa
Burkina Faso.

"Walitekwa na kundi la watu wasiojulikana mapema usiku wa kuamkia Agosti 3, 2023 katika Parokia ya Mtakatifu Luka Gyedna, jimbo la Minna chini Nigeria. Mseminari wetu huyu alikuwa katika mwaka wake wa uchungaji kabla ya kuanza masomo ya teolojia.

Kufuatia ya taarifa hiyo ambayo imesambaa pia mitandaoni, gazeti hili lilimtafuta Balozi wa Tanzania chini Nigeria, Dk Benson Bana ambaye alikiri kuwepo kwa tukio hilo na kwamba wanachukua hatua mbalimbali kuhakikisha Mtanzania huvo pamoia na mwenzake wa Burkina Faso wanaachiwa huru.

Balozi Bana amesema taarifa alizozipata ni kwamba watekaji wanataka Naira 100 milioni (sawa na Sh325.1 milioni) ili kuwaachia huru wote wawili. Alisema wamepiga hesabu na kuona kwamba kila mmoia anatakiwa kulipiwa karibu Dola 70,000 za Marekani 70,000 (zaidi ya Sh170 milioni).

"Tunahitaji kuwa waangalifu katika jambo hili kwa sababu watu hawa si wazuri, wakijua kwamba Serikali italipa wataongeza dau hadi Naira 500 milioni. Kwa hiyo, tunaendelea kushirikiana na wenzetu wa Shirika la
Wamissionari wa Afrika ambao tayari wametoa taarifa polisi," alisema.

Mwananchi

===

The Catholic Diocese of Minna in Nigeria has sent out a prayer appeal for the safe release of a Priest and seminarian reportedly abducted from the Diocese on Thursday, August 3.

Fr. Paul Sanogo, a member of the Missionaries of Africa (M.Afr) and Seminarian Melchior are pastoral workers serving at St Luke's Catholic Church Gyedna, Niger State

In an August 3 statement shared with ACI Africa, the Local Ordinary of the Nigerian Episcopal See provides details about the abductions, saying, “I request for your prayers for Fr. Paul Sanogo (M.Afr) and Seminarian Melchior who were kidnapped by bandits in the early hours of August 3, 2023 at the Priest residence at Gyedna, Niger State.”

“We pray the Lord hears our prayers and brings them back in peace,” the Nigerian Catholic Bishop says in the statement.

Nigeria has been experiencing insecurity since 2009 when Boko Haram insurgency began with the aim of turning the country into an Islamic state.


Source: Prayer Appeal Sent for Missionary Priest, Seminarian Abducted from Nigerian Diocese

Mungu wake amlinde
 
Back
Top Bottom