Mtanzania Melchior Dominic Mahinini anayesomea ukasisi nchini Nigeria atekwa na waasi

Mtanzania Melchior Dominic Mahinini anayesomea ukasisi nchini Nigeria atekwa na waasi

Kuishi kwa mkristo ni Kristo na kufa ni faida hakuna kipya chini ya jua wewe utaishi milele??
Haya maneno una andika ukiwa chumbani kwako ni rahisi sana,, alietekwa anajua hali ilivyo
 
Yule aliyekuwa akilala juu ya mawe kama sorokoto yuko wapi! Pamoja na kujidai kukusanya sadaka ili asamehewe lakini wapi, dami ya Yesu ilishinda.
Endelea na ushujaa wa JF ila jamaa yule saa hii ana isoma namba
 
FB_IMG_1691455841200.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo katekwa na wenzake wa karibu.Ukichunguza tu,kwa mwenye akili,ataona huu ni mpango wa ndani.Mtu wa nje,atamjuaje huyu ni mgeni,!na anatoka wapi,na anahusika na nini,na huko aliko wana uwezo wa kulipa pesa ndefu?
Hata mtoto wa darasa la kwanza anajua waliomteka.Usitetee ujinga.
 
Weka maneno ya akiba usiandike kama mjinga , uvamizi wa kanisa Geita baada ya tukio kutokea watu wajinga kama wewe walijitokeza na kuanza kuleta shutuma pasipo na ushahidi ila baada ya ukweli kujulikana wakapoteana .

Hata kama wakiwa waislamu watakuwa ni watu wasio na akili kwa kufanya tukio kama hilo wala halihusiani na dini na wala haifai kujumuisha waislamu kwa ujumla wao.
We upo dunia yako pengine,hakuna asiyejua Nigeria waislam wanayofanya bana we. Hakuna kumung'unya maneno ipo shida.
 
Back
Top Bottom