Mtanzania Melchior Dominic Mahinini anayesomea ukasisi nchini Nigeria atekwa na waasi

Mtanzania Melchior Dominic Mahinini anayesomea ukasisi nchini Nigeria atekwa na waasi

Hapo zinapigwa salamu Maria 2000 na baba yetu 10,000 hapatoshi wakati huko mwenzao kavuliwa ubingwa
Ngoja watakwenda kuchukua maiti ndio siku nyingine wataacha kupeleka wenzao kwenye hatari
 
We don't negotiate with terrorists,serikali isilipe hiyo pesa maana ni kuwapa ushindi. Bora tutumie billion 10 kumuokoa Kwa njia nyengine kuliko kuwalipa hao watekaji pesa,watazoea.
Huyu katekwa na wenzake wa karibu.Mtu wa nje,atajuaje huyu ni nani,na tukimteka tudai pesa.MUNGU ATAMSAIDIA.
 
Waislam wana shida sana.
Weka maneno ya akiba usiandike kama mjinga , uvamizi wa kanisa Geita baada ya tukio kutokea watu wajinga kama wewe walijitokeza na kuanza kuleta shutuma pasipo na ushahidi ila baada ya ukweli kujulikana wakapoteana .

Hata kama wakiwa waislamu watakuwa ni watu wasio na akili kwa kufanya tukio kama hilo wala halihusiani na dini na wala haifai kujumuisha waislamu kwa ujumla wao.
 
Kanisa lihangaike kumkomboa mtu wao, usije kukuta alilawiti watoto wa watu wakamdaka.
 
Back
Top Bottom