Sawa boss.Mkuu acha chuki watarudi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa boss.Mkuu acha chuki watarudi tu
Who knows? ... Even Americans are my suspects! .... they always need a false flag operation (or a number of them), ... especially now when they terribly need to engage ECOWAS ...!They don't need food? Who finances them?🤷🏿♂️
nyie si ma freemasons na tunajua huko pesa ni kitu cha kawaida ?Yapi yataje? Unayafahamu kwanza? Unajua yanavyo operate? Unajua kuwa yapo tofauti? Roporopo
Sidhani kama ni Waislam, ni wahalifu tu wanataka pesa kutoka kwa wanaohusiana na mhangaWaislam wana shida sana.
Kanuni ya kidini kuteka watu na kudai ransom? Nafikiri fidia inadaiwa kwa mateka wa kivita tuNi kikundi cha kiislamu mkuu, ransom wanataka sababu ni kanuni ya kidini na pia lazima wale na wanunue silaha nk
Unaweza ku prove huo uhusiano au ni nadharia ambayo ina sound vizuri masikioni? Ukweli huwa una humble wajinga.nyie si ma freemasons na tunajua huko pesa ni kitu cha kawaida ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wasipomuokoa huyu Father kwa malipo hayo madogo. Sitoi tena michango kanisani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena hapo anaonyeshwa bisu na kaburi lake alafu anashikishwa msahafu soma hapa hizi Aya akishindwa tu anageuziwa kibra
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mda HUU unachomwa ubani huko
Umeelezea vizuri,waislamu pia wanatekwa na kuuliwa na hayo.magenge.Magaidi wapo wa kwa mgongo wa dini zote na wasiokuwa na dini.Wapi wametajwa kuwa ni Waislam? Nigeria ni nchi ina magenge mengi ya kihalifu na kigaidi na hayajinasibishi kabisa na Uislam. Na huwa yanateka watu na kulazimisha yatumiwe pesa yawaachie huru. Yanaua watu wasio na hatia pia mpaka kanisani.
Kuna magenge ya kigaidi kama Indigenous People of Biafra (IPOB) na Eastern Security Network (ESN) ambayo yanapambania kujitenga na Nigeria na yanaua watu wasio na hatia. Bado kuna magenge mengi.
Na hata kama ingelikuwa ni Boko Haram, ambao wanajinasibisha na Uislam, Uislam uko mbali nao hao khawaaarij ambao huwaua watu wasio na hatia na wengi wanaouliwa na hawa mbwa wa motoni ni Waislam.
.Huyu katekwa na watu wa karibu yake.Mtu wa mbali hawezi kujua habari zako.Mara nyingi eneo kukiwa na vikundi vya uasi watu hutumia mwanya huo kutekana na kuwaangushia jumba bovu. Kama ambavyo kipindi cha magonjwa ya milipuko kama Corona ,watu humalizana kwa sumu na jumba huangushiwa Corona. Mi Muislam, naomba apatikane salama na Mwenyezi mungu amuongoze. Miaka 23 aloishi Mtume (s.a.w) hajawahi kuvamia kanisa na kuteka mtu
Huyu katekwa na watu wa karibu yake,mtu wa mbali hawezi jua habari zako.Yapo maslahi fulani baina yao.Hijawahi kuwa dini ya amani ile.
labda wewe hauishi duniani ndio maana unauliza maswali ya kijingaUnaweza ku prove huo uhusiano au ni nadharia ambayo ina sound vizuri masikioni? Ukweli huwa una humble wajinga.
Huna akili wewe ndio maana unakalia conspiracy theories nimekuuliza umeshindwa kuprove.labda wewe hauishi duniani ndio maana unauliza maswali ya kijinga
Dini yakuenezwa kwa upanga?Akijua kusoma aya za Qur'an wanamuacha