Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Biti tuuu hiyoo hakuna kitu kama hichoo ni story tuuJeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mauaji ya Alptekin Zeynelabidin Aksoy, mwenye umri wa miaka 52, ambaye ni raia wa Tanzania mwenye asili ya Uturuki, aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana alfajiri katika eneo la Makaburini, Kinondoni.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, tukio hilo lilitokea Julai 18, 2025, majira ya saa 11:30 asubuhi, wakati marehemu alipokuwa akielekea ofisini kwake.
“Alptekin Zeynelabin alishuka kwenye gari lake na kabla ya kuingia ofisini kwake alishambuliwa kwa risasi na kupoteza maisha”, imeeleza taarifa hiyo.
Jeshi la Polisi limeanzisha uchunguzi wa kina ili kuwabaini waliohusika na limeonya vikali kuwa yeyote atakayebainika kuhusika, kwa namna yoyote ile, atachukuliwa hatua kali za kisheria.
Hawa watapatikana fasta. Sina shaka na jambo Hilo.Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mauaji ya Alptekin Zeynelabidin Aksoy, mwenye umri wa miaka 52, ambaye ni raia wa Tanzania mwenye asili ya Uturuki, aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana alfajiri katika eneo la Makaburini, Kinondoni.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, tukio hilo lilitokea Julai 18, 2025, majira ya saa 11:30 asubuhi, wakati marehemu alipokuwa akielekea ofisini kwake.
“Alptekin Zeynelabin alishuka kwenye gari lake na kabla ya kuingia ofisini kwake alishambuliwa kwa risasi na kupoteza maisha”, imeeleza taarifa hiyo.
Jeshi la Polisi limeanzisha uchunguzi wa kina ili kuwabaini waliohusika na limeonya vikali kuwa yeyote atakayebainika kuhusika, kwa namna yoyote ile, atachukuliwa hatua kali za kisheria.
Kwenye jambo ambalo SI la kisiasa huwa wapo activeBiti tuuu hiyoo hakuna kitu kama hichoo ni story tuu
Hakuna atakaye kamatwaaa
Imeisha hiyo
Serikali ya Uturuki nayo ni ya kibabe na ina tabia ya kufuatilia wapinzani wake walioko nje ya nchi na kuwaua au kuwateka.Bila shaka huyo ni msuni
Ukingia kwenye mfumo watu wanakumalizaAtuko salama lisu alipigwa risasi WATU wakachukulia POA SASA ukiona mwenzako an nyorewa ZAKO tia maji narudia atuko salama WAKUU tujichunge SANA na tuombe MUNGU ya afrika kusini yaja
Mrangi sizani KILA anaepigwa risasi amezurumu. Saivii ukitaka kuishi VIZURI jifanye fala ACHA ujuaji na KUJICHANGANYA SANA na WATU ovyo haifai. umaarufu usio na tija. Na kupenda bifu za kijinga.Kuna JAMAA humu nilimwambia AACHE KUTUKANa WATU humu atujuani ushamba wake ABAKI NAO anatukana TU. namii haya kazana baba mdomo mali Yako ILA utauponzaUkingia kwenye mfumo watu wanakumaliza
Kama ulidhulumu nk watu wanatamabaa na wewe
Ova
Saa tano mchana?Hii tukio nliiqmbiwa tokea saa tano huko,
Sasa watu wameua na hawajachukua kitu ......Connect dots
Ova