Mtanzania mwenye asili ya Uturuki auawa na wasiojulikana

Mtanzania mwenye asili ya Uturuki auawa na wasiojulikana

Duh. Si watawapata kwenye camera?
Kazi kwao polisi sasa

Kuna miaka fulani nyuma kdg
Kuna jamaa alikuwa muuza ngd
Naye alipigwa shaba akiwa ndani ya range jamaa walikuwa kwenye pikipiki,trna jirani na boma pale
Wale wana hawakupatikana mpaka leo
Watu wakiamua jambo lao lazima lifanyike

Ova
 
Back
Top Bottom