Mtanzania mwenye asili ya Uturuki auawa na wasiojulikana

Huyo marehemu ana wasifu gani? Ofisi yake inajihusisha na nini?
 
NAHISI tupate data zaidi tutaelewa TU kama hawajachukua CHOCHOTE tujue mambo yake ya kisiasa naaina ya biashara zake anazo fanya
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mauaji ya Alptekin Zeynelabidin Aksoy, mwenye umri wa miaka 52, ambaye ni raia wa Tanzania mwenye asili ya Uturuki, aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana alfajiri katika eneo la Makaburini, Kinondoni.

Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, tukio hilo lilitokea Julai 18, 2025, majira ya saa 11:30 asubuhi, wakati marehemu alipokuwa akielekea ofisini kwake.

“Alptekin Zeynelabin alishuka kwenye gari lake na kabla ya kuingia ofisini kwake alishambuliwa kwa risasi na kupoteza maisha”, imeeleza taarifa hiyo.

Jeshi la Polisi limeanzisha uchunguzi wa kina ili kuwabaini waliohusika na limeonya vikali kuwa yeyote atakayebainika kuhusika, kwa namna yoyote ile, atachukuliwa hatua kali za kisheria.

Kwani Rostam azizi anasemaje?
 
Mrangi sizani KILA anaepigwa risasi amezurumu. Saivii ukitaka kuishi VIZURI jifanye fala ACHA ujuaji na KUJICHANGANYA SANA na WATU ovyo haifai. umaarufu usio na tija. Na kupenda bifu za kijinga.Kuna JAMAA humu nilimwambia AACHE KUTUKANa WATU humu atujuani ushamba wake ABAKI NAO anatukana TU. namii haya kazana baba mdomo mali Yako ILA utauponza
acha uoga wewe, hakuna jf wa kumtishia mtu maisha....
 
Kwa Tanzania kupewa uraia sheria ni ngumu lazima uwe umeishi miaka mingi na kufanyiwa security check ya nguvu.
1752859073341.png
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mauaji ya Alptekin Zeynelabidin Aksoy, mwenye umri wa miaka 52, ambaye ni raia wa Tanzania mwenye asili ya Uturuki, aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana alfajiri katika eneo la Makaburini, Kinondoni.

Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, tukio hilo lilitokea Julai 18, 2025, majira ya saa 11:30 asubuhi, wakati marehemu alipokuwa akielekea ofisini kwake.

“Alptekin Zeynelabin alishuka kwenye gari lake na kabla ya kuingia ofisini kwake alishambuliwa kwa risasi na kupoteza maisha”, imeeleza taarifa hiyo.

Jeshi la Polisi limeanzisha uchunguzi wa kina ili kuwabaini waliohusika na limeonya vikali kuwa yeyote atakayebainika kuhusika, kwa namna yoyote ile, atachukuliwa hatua kali za kisheria.

Hayo macho huwa unamtolea nani....?
 
Mkuu Kuna JAMAA walikutana humu wakapeana location wakakutana kupiga soga za hapa na pale SA jiulize JE kama MmOJA WAO anakisasi what happen tusiishi kwa mazoea be careful bro
acha uoga kijana, ishi maisha yako,
acha kuaminiamini stori za mitandaoni....
 
Back
Top Bottom