Mtanzania mwenye Orodha ya ahadi alizowahi kuzitoa Rais Samia na zikafanyika Aziweke hapa

Mtanzania mwenye Orodha ya ahadi alizowahi kuzitoa Rais Samia na zikafanyika Aziweke hapa

Alitoa ahadi ya kujenga ikulu ya muungano zanzibar anatekeleza.

Alitoa ahadi ya kukupunguza kero za muungano anatekeleza. Leo mafuta na gesi ya zanzibar ni zanzibar
 
Kama unazikumbuka ahadi za marehemu Magufuli basi ndio hizo hizo za mama Samia.

Kuna swali lingine?
 
Ahadi ni zile zile za kampeni awamu ya 5. Madaraja, barabara, bwawa la umeme, reli n.k
 
Kujenga daraja juu ya mto Pangani. Imetimia!
 
Ahadi ya mshahara nyongeza asilimia 23% ametimiza mfano asimilia 23% ya mtu wa mshahara wa laki 8 ni 6k
 
Ni ujuha kuendelea kuwaza kuwa kuna kiongozi wa nchi za kiafrika atatenda ya kukupa ahueni ya maisha wewe kapuku,, wewe amka asubuhi kasote upate kula badae kanye uoge ulale hivyo hivyo mpaka kifo,,
 
1……..
2……..
Ahadi ya kumtua mama ndio kichwani,hadi sasa yuko 75% Vijijini na 85% Mijini.

Soko la Machinga Dom liko 96%,

Soko la Kariakoo liko 45%,

Soko la Machinga Kigamboni liko 56%,

Kukamilisha miundombinu ya Mwendazake,Tanzanite imekamilika,Daraja la Wami linaanza septemba,BRT awamu ya pili inakamilika Disemba, Magufuli liko 56%,Bwawa la Umeme liko 60% nk,

Kuongeza bajeti Tarura kwa zaidi ya 120%,

Kutoa ruzuku ya Mbolea 100% ,

Ajira kwa vijana 100% nk nk

Nyingine hizi hapa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220828-113200.png
    Screenshot_20220828-113200.png
    95.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom