Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

Hivi dawa haiwezi safirishwa kama compound tofauti tofauti ikaja ijaungwa kweneye nch usika kama kitu kimoja
 
Daah alichofanya akamatwe ni Nchi aliyotoka ndio maana Polisi wa ET wakaanza kumchunguza mizigo ila inasikitisha sana kwa kweli kwa umri huo bado kutaka kuendelea kuua vijana ili apate fedha aisee hapo ni kama kakamatwa Rwanda ataenda jela..
Exit ndo huwachoma ili wakafie mbali maana wakibaki hapa watawasumbua.
Ila bora
 
Mzee ana moyo sana yaani kabugia takribani kilo moja na nusu ya ugali tumboni
 
Zinamezwa kw anjia ya mdomo au zinaingizwa kwa njia ya haja kubwa?
 
ulicho kisema ndio uharisia... kama ikihitajika tudai uhuru kwa mara nyingine itatuchukua miaka 1000 kuupata😭😭😭​
Ndo ivo Kwa sababu vitu vya kipumbavu ndo huwa vinapewa kipaumbele na ufatiliaji wa kutosha mfano kama mambo ya connection za waliochafua hali ya hewa badala ya kuvipa kiupambele vitu vya msingi mfano kama siasa maana hii ndo huwa inaamua mwelekeo uweje wa mambo mbalimbali nchini
 
Inaonesha Ethiopia hapapitiki kirahisi na mzigo

View: https://twitter.com/Nipashetz/status/1782703412548694510?t=x3ZrwD6pbJFdH0AVCwMY0Q&s=19
View: https://www.instagram.com/p/C6Du97QNRLT/?igsh=cnczYWw1MTZyczFw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…