Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Jazia nyama kidogo Chifu, njia inapanuliwa kwa kutumia nini ili mzigo upite?Umesahau kupanuliwa njia ili mzigo upite vizuri
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jazia nyama kidogo Chifu, njia inapanuliwa kwa kutumia nini ili mzigo upite?Umesahau kupanuliwa njia ili mzigo upite vizuri
Nitakuwa "nilikosea" kuku-quote!Easy,fella!Tumefikia wapi mbona sikuelewi
Na ukizingatia wazee wamepewa msamaha hadi kwenye matibabu.Anatafuta pesa ya kuhonga.
Mademu muwe mnawapa bure wazee wetu bila gharama.
Gharama pelekeni bills wizara ya wazee watalipa.
Hakucheza na wale magwijiInaonesha Ethiopia hapapitiki kirahisi na mzigo
Sasa na akili yako ndogo unadhani ile ni code watu hawatang'amua ujumbe wako. Aisee! Unakunya kichakani kumbe tako lako umeelekeza barabarani🤣Wewe ndio umaleta udini wapi nimezungumzia habari za dini zaidi ya kutaja tu jina
Alianza kwanza kuhojiwa ndo akapelekwa kwenye Machine....!si mashine ndio imeditect au sijaelewa vizuri hapo juu...?
Inategemea italy usd 100,000 yani tsh 260,000,000Hivi cocaine ina thamani kubwa kiasi hichi?
Kg Moja uilipie siti ya ndege, ule, ulale hotelini n.k.
Kg Moja sh.ngapi kwani?
UUUAlianza kwanza kuhojiwa ndo akapelekwa kwenye Machine....!
Viwanja vingi vya Ndege, unapoanza Safari yako, kunakua na Scanner ambapo Mizigo yako yote inapita hapo, sometimes mpaka Viatu, then wewe kama wewe unapita kwenye Detector Machine....!
Huyu ametoka Latin America salama salimini, kashuka Ethiopia na inabidi Abadirishe Ndege aende Uganda, Ukiwa Transit, kwa vile unakua umeshakaguliwa ulikotoka Ukaguzi unakua wa kawaida hasa kwa Mabegi ya mgongoni ambayo unatembea nayo, utapanga foleni kupitisha tena kwenye Scanner... Sasa hapa kwenye Q ya kusubiri Upitishe Begi lako kwa Scanner....! Ndo officers huwa wanawacheki abiria na Movements zake, wanaangalia Walivyovaa, Vitu vya thamani kama Gold Silver Shingoni huwavutia kukuhoji, ni hapa ndo unakuta Mtu anatoka jasho na wakati kuna AC hafu Abiria wengine wakiwa sawa....!
So wakikuhisi wanakufata hapo kwenye Q, watakusalimia, watakuuliza kama upo sawa, ama ni Mgonjwa, utasema upo sawa, Watauliza unatoka wapi unaenda wapi, utajibu, watauliza Una mizigo mingine ama ndo lile begi dogo...!
Then wataomba uwafate kwa mahojiano zaidi, ni huko ndo mwisho wa siku watakuingiza kwa X ray kucheki ndani ya Mwili wako...! Ukiwa na Mzigo umemeza umeisha...!
Ila watu wanameza kila siku na wanatoboa kila siku... Ila kitete ndo huwakamatisha wengi.
Ni kweli huo ndio uhalisiaAlianza kwanza kuhojiwa ndo akapelekwa kwenye Machine....!

Italy wanauziana kihalali au kimagendo?Inategemea italy usd 100,000 yani tsh 260,000,000
Kazi gani Kula Mavi?Naombeni connection wakuu kazi naiweza
Kikokotoo kimekataaAlikuwa kwenye kutafuta pension,
Ni kweli lakini je upo tayari kufa,je upo tayari kutolewa marinda na je upo tayari kutekwa na kuteswa na wasiojulikana,huo ujasiri huwa anakuwa nao mtu ambaye hana cha kupoteza yule anayetembea na kauli kichwani ya liwalo na liweila ujasiri kama huo sisi hatuna kazi yetu kuiLaumu serikali tuu... tena mtandaoni kwa ID fake... ila kwenda kuwaface uso kwa uso ujasiri hatuna
Magendo , hakuna nchi cocaine imehalalishwaItaly wanauziana kihalali au kimagendo?
Kumbe ni njia za panyaMagendo , hakuna nchi cocaine imehalalishwa
Ni kweli lakini je upo tayari kufa,je upo tayari kutolewa marinda na je upo tayari kutekwa na kuteswa na wasiojulikana,huo ujasiri huwa anakuwa nao mtu ambaye hana cha kupoteza yule anayetembea na kauli kichwani ya liwalo na liwe
Angetusua ulaya tungemsahauKumbe ni njia za panya