Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

Bongo yanabaki mashudu ya Tshillings mzigo wa maana unaenda kwenye rand na kwa wanaofahamu ukiwa cut zaidi ya asilimia 78 hawachukui wanakuchukua wewe.Mchana nwema Kaka Mrangi.
Wenyewe wataalam wanaichoma
Mpk kipimo chao kitoe 1/2/1 😄
Jiwe ligandeee...
Na mara nyingi hiyo ya pel-- huku
Wanachanganya na powder ya lactose.....
Ile ya kutoka kwa madevu wanachanganya na Ashton
Na hizo dawa zote zinapatikana kwenye mapharmacy

Ova
 
Bongo yanabaki mashudu ya Tshillings mzigo wa maana unaenda kwenye Rand na kwa wanaofahamu ukiwa cut zaidi ya asilimia 78 hawachukui wanakuchukua wewe.Mchana nwema Kaka Mrangi.
Hii kazi risk sana,maana mmezaji anapomeza lazima s sniff wenyeww wanakuambia kukata mavi,yaani choo kisimsumbue wkt yuko safarini
Haya wakati anameza mfano kg1 hiyo hamezi kwa siku moja ujue wengine inaweza mchukua mpaka siku 3,4
Kuna wakati inabidi azungushe,yaani zinatoka alafu anameza tena kuzirudishiaaa 😄
Mkuu watu wanapata pesa kwa shida sana
Haya tena mtu huyo aliyemeza mfano anapitia nchi fulani ambayo ni weak kiusalama yeye anashuka hapo anakunya mzigo
Anakuja mtu mwingine(kihongwe)huyo anameza anamaliza safari haha
Yaani mtu anameza uchafu wa mwenzake mambo ya pesa hayooo

Ova
 
Humujui Gardiner kwa undani,hebu niambie kaacha nyumba wapi na mali nyingine wapi???

Hapo alipokua anaishi alikua kapanga kwa taarifa zako

Alipoachana na Jay,alipaswa kutafuta sana mali kwa nguvu zote,lakini hakuliona hilo,matokeo yake Jay De akawa anamtungia nyimbo kila kuchao,na mwisho wa siku akawa mlevi wakupindukia
Kweli ndugu nilikuwa simjui......na nilikuwa nadhani pale alipokuwa anakaa ni nyumbani kwake....kwa maana ya nyumba yake
 
Hii kazi risk sana,maana mmezaji anapomeza lazima s sniff wenyeww wanakuambia kukata mavi,yaani choo kisimsumbue wkt yuko safarini
Haya wakati anameza mfano kg1 hiyo hamezi kwa siku moja ujue wengine inaweza mchukua mpaka siku 3,4
Kuna wakati inabidi azungushe,yaani zinatoka alafu anameza tena kuzirudishiaaa 😄
Mkuu watu wanapata pesa kwa shida sana
Haya tena mtu huyo aliyemeza mfano anapitia nchi fulani ambayo ni weak kiusalama yeye anashuka hapo anakunya mzigo
Anakuja mtu mwingine(kihongwe)huyo anameza anamaliza safari haha
Yaani mtu anameza uchafu wa mwenzake mambo ya pesa hayooo

Ova
Umesahau kupanuliwa njia ili mzigo upite vizuri
 
Mkuu siku akitoka naomba uweke uzi halafu uni-tag
Na huwezi kuona naandika uzi kuhusu hawa jamaa. Ila kama mfatiliaji wewe mwenyewe utajua.
Nina taarifa ya hiyo issue, na nazijua issue nyingi ziinazotokea kwenye interchange hiyo, Mungu si athumani nazifahamu.
NB; Ya ngoswe muachie ngoswe
 
YAAN KAMA.KUNA MEMBERS HUKU MTOTO WA MAREHEMU FANYA HIVI
1.KOPA
2.KOPA
3.KOPA UPATE NAULI KWENDA ADDIS MAPEMA YAAN UKICHELEWA HATA MAITI HUTOIONA
4.FIKA OMBA MSAADA KUMWONA MZEEE WAKO UKISEMA UMEKUJA KUMSAIDIA KISHERIA
5.OMBA AANDIKE URITHI
6.KTK URITHI HAKIKISHA UNAMNUNUA HATA MWANASHERIA WA ADDIS AWEPO
7.HAKKISHA MALI UNAYOHISI NZURI MZEE AANDIKE JINA LAKO NA KUMHAKIKISHIA UTABAKI ADDIS MPAKA YAISHE
8.UKIFANIKIWA HAYA WEE CHAPALAPA USIMWAGE MZEE MAANA ANAWEZA KUKUNGATA SIKIO SELO UKIMUAGAAA
9..CHUKUA DETAILS ZOTE ZA SELO NA MAHAKAMA ATAKAKOENDA
10..WÈKAA BANDO LA MAANA FWATILIA KESI HUKU UKIWA SKYLOUNGE AMA SAMAKI SAMAKI KULA BATA NDUGU
11..UKIWAHIWA NA NDUGU WA KARIBU KMEKULA KWAKOOO

ALLDBEST NA HUU MSIBA
Ndio ushauri wa Pdidy huu
 
A TANZANIAN NATIONAL ARRESTED AT BOLE AIRPORT WITH 1.34KG OF COCAINE On 18/04/2024 at 19:40 at Transit lounge At Bole International Airport In Addis Ababa Ethiopia Police have arrested a suspicious Passenger SADICK ABRAHAMAN ALLY , Tanzanian, 60 yearS Old, Born and Grew up in Tanga ,Passport number TAE 266469.

The passenger was travelling from Sao Paulo ( GRU ) transiting at Bole International airport to Entebbe International Airport on Flight ET 5O7 and then on flight ET 334 to EBB and took the suspicious passenger to X ray where indicated Positive and on interrogation he admitted to have swallowed about Kg of Cocaine . The passenger is beeing held by Ethiopia police for discharge of the Pellets and further Investigation and Legal action .

Punda amekataa kustaafu kazi yake, mwenye mzazi wake aende rumande za Addis Ababa kumpelekea sabuni na maji

View attachment 2971479View attachment 2971480
Haikuwa zari!!
 
Back
Top Bottom