Ushaingia kwenye maadui zako waislaam pengine wala sio mbongo huyo,ni urahisi wa pass ya kusafilia tu...kuna wandi na wa Congo kibao kwa sasa wanaenda Canada kwa mikwaju ya kibongo nyinyi kalieni udini tu.SADIKI ABRAHAMANI ☪️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushaingia kwenye maadui zako waislaam pengine wala sio mbongo huyo,ni urahisi wa pass ya kusafilia tu...kuna wandi na wa Congo kibao kwa sasa wanaenda Canada kwa mikwaju ya kibongo nyinyi kalieni udini tu.SADIKI ABRAHAMANI ☪️
Hivi huo udini mmeuona wapi nyie?,mimi nimekazia tu jina la muhusika ila nyie naona mnalazimisha udiniUshaingia kwenye maadui zako waislaam pengine wala sio mbongo huyo,ni urahisi wa pass ya kusafilia tu...kuna wandi na wa Congo kibao kwa sasa wanaenda Canada kwa mikwaju ya kibongo nyinyi kalieni udini tu.
Ethiopia kugumu mpwa,jela za huko si mchezo
Ova
Kula mbokoMatako ya mzee aliyekongoroka nayo mnayapiga?
Kuna siku nilipita pale wakaniyumbisha sana, walihisi nna mzigo ikabidi ndege ichelewe lakini sikua na chochote.Ethiopia kugumu mpwa,jela za huko si mchezo
Ova
Aina ya usafiri aliouchagua na muonekano nyoronyoro wa punda ndiyo sababu ya kuhisiwa na kudakwa mapema.Tafsiri tafadhali, sisi wa la saba B hatujaambulia kitu.
Kufanya Crime kwenye Nchi za watu ni hatari sana sana ndugu watabaki kusikia tu na kumuona hawataweza...Na jela za ethiopia ni ngumu kweli kweli
Ova
Joseph Kaniki yuko wapi?? Alifungwa jela za huko Ethiopia na sidhani kama alishawahi kutokaumewahi kusikia wanafungwa hao?
Nilidhani pale kijitonyama ni nyumbani kwake kwa maana ni mali yakeGardener kaacha majumba wapi wakati alikuwa kapanga kijitonyama na ndipo ulipokuwa msiba wake ?
Huyo wa Migo Migo ndiye nani? Maana codes zetu zimeshindwa kufunguaShikuba mbona yuko nje muda kidogo, kijana wake Tikotiko naye yuko kitaa muda pia.. salama yake ni kwenda kuhukumiwa USA,mkewe hakufungwaga...nadhani ndie alietumika kama chambo kumnasa... !
nadhani muda sio mrefu yule jamaa wa migo migo nae watamuachia au pengine wamesha muachia🤣🤣🤣
vidagaa ndio huwa wanafungwa ila mi papa haifungwagi
Chakula mnauziwa hamna kupewa bure, unatoka saopaul unatua bole, lazima wakudake mapema sanaNa jela za ethiopia ni ngumu kweli kweli
Ova
Sio kwake kapanga.Nilidhani pale kijitonyama ni nyumbani kwake kwa maana ni mali yake
ila ujasiri kama huo sisi hatuna kazi yetu kuiLaumu serikali tuu... tena mtandaoni kwa ID fake... ila kwenda kuwaface uso kwa uso ujasiri hatunaHajatushida maarifa bali katushinda ujasiri,kufanya jambo lolote la ajabu ajabu inataka ujasiri
du!!A TANZANIAN NATIONAL ARRESTED AT BOLE AIRPORT WITH 1.34KG OF COCAINE On 18/04/2024 at 19:40 at Transit lounge At Bole International Airport In Addis Ababa Ethiopia Police have arrested a suspicious Passenger SADICK ABRAHAMAN ALLY , Tanzanian, 60 yearS Old, Born and Grew up in Tanga ,Passport number TAE 266469.
The passenger was travelling from Sao Paulo ( GRU ) transiting at Bole International airport to Entebbe International Airport on Flight ET 5O7 and then on flight ET 334 to EBB and took the suspicious passenger to X ray where indicated Positive and on interrogation he admitted to have swallowed about Kg of Cocaine . The passenger is beeing held by Ethiopia police for discharge of the Pellets and further Investigation and Legal action .
Punda amekataa kustaafu kazi yake, mwenye mzazi wake aende rumande za Addis Ababa kumpelekea sabuni na maji
View attachment 2971479View attachment 2971480