Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

tunaisaidiaje sasa... kama jamii yetu inawakataa watu mpaka wanalelewa na mtaa, huko mitaa wana pambana na ukatili wa kimazingira, Baridi, mbu na jua vina uralua vibaya miili yao...!

mwisho wa siku mtu anajikuta ameingia mikononi mwa nunda kwenye black market 😭😭😭 kwakweli dunia ni tamu kwa walio kuta kila kitu kipo mezani... ila ni chungu sana kwa walio anza na 0...!

huna kitu, huna wa kukusaidia kitu pekee kilicho kupokea ni mtaa na watoto wenzako wa mtaani... utafanya nini...?​
Pamoja na changamoto zote za harakati za kimaisha lakini siku zote jifunze kuweka mizani Sawa kati ya msukumo wa matakwa ya nafsi na matumizi ya akili yako...........

Kumbuka kuwa pamoja na matamu unayaona kwenye dunia lakini mwisho wa siku yote ni batili............dunia mapito........bwana mdogo Gardner amelala usingizi wa umauti.....kaacha majumba na mali zingine za thamani......na huu ndio mwisho wa kila chenye Uhai......
 
noted... but how... ni kama vile mzee mengi alisema I WILL, I CAN, I MUST.... ila ila sahau kutuambia HOW...?
 
Kama ambavyo unafuata manual book ya mtengenezaji wa chombo chako cha moto au kifaa chako ki electronic ili kidumu na uwe salama....ndivyo ambavyo unapaswa kufuata muongozo wa muumba wako kwenye dunia hii kulingana na imani yako.....na utabaki salama
 
Pamoja na changamoto zote za harakati za kimaisha lakini siku zote jifunze kuweka mizani Sawa kati ya msukumo wa matakwa ya nafsi na matumizi ya akili yako...........

Kumbuka kuwa pamoja na matamu unayaona kwenye dunia lakini mwisho wa siku yote ni batili............dunia mapito........bwana mdogo Gardner amelala usingizi wa umauti.....kaacha majumba na mali zingine za thamani......na huu ndio mwisho wa kila chenye Uhai......
Gardener kaacha majumba wapi wakati alikuwa kapanga kijitonyama na ndipo ulipokuwa msiba wake ?
 
Kama alikua anapeleka asamehewa kwa faini au apewe adhabu nyepes
Na kama alikua analeta basi anyongwe kabisa.

Kina Chid Benz, TID na Joslin wanaisha.
Mkuu somaa rte mzigooo ulikuwa wetuu huooo Allah katuokoaaaaaaaa unajuaaa walaa unga wengi mashoga hivi sasaaa yaan alikuwa anakujaa kuua vizazi vyetu aendee tu Allah ampe wepesi aendalkooo
 
Back
Top Bottom