Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

A TANZANIAN NATIONAL ARRESTED AT BOLE AIRPORT WITH 1.34KG OF COCAINE On 18/04/2024 at 19:40 at Transit lounge At Bole International Airport In Addis Ababa Ethiopia Police have arrested a suspicious Passenger SADICK ABRAHAMAN ALLY , Tanzanian, 60 yearS Old, Born and Grew up in Tanga ,Passport number TAE 266469.

The passenger was travelling from Sao Paulo ( GRU ) transiting at Bole International airport to Entebbe International Airport on Flight ET 5O7 and then on flight ET 334 to EBB and took the suspicious passenger to X ray where indicated Positive and on interrogation he admitted to have swallowed about Kg of Cocaine . The passenger is beeing held by Ethiopia police for discharge of the Pellets and further Investigation and Legal action .

Punda amekataa kustaafu kazi yake, mwenye mzazi wake aende rumande za Addis Ababa kumpelekea sabuni na maji

View attachment 2971479View attachment 2971480
Yaani nikishaona madawa ya kulevya ,ugaidi basi yatakuwa majina ya dini fulani why!
 
Huyo wa Migo Migo ndiye nani? Maana codes zetu zimeshindwa kufungua
kuna mwamba mmoja kati ya mwaka 2016 au 2020 alikamatwaga kwa kipindi hicho ndie alikuwa Godfather wa mihadarati bongo... ile nyumba yake ya magomeni aliijenga kwa tofari za kuchoma kutoka mkoani

🤣🤣🤣 kwao huko Morogoro imagine mtu anajenga gorofa kwa tofari za kuchoma kutoka Morogoro 🤣🤣🤣🤣
ila ni kagorofa tu ka gorofa 1...!

kwenye ile nyumba ndipo mimi nilipo kulia alipo inunua pale kwa jeuri ya fedha wapangaji wote wakiwemo wazazi wangu jamaa aliwalipa kodi ya miezi 6 waondoke wasimbughuzi...!

alikuwa anaitwa MTAMA MCHUNGU kama sijakosea...!​
 
Muislamu na dawa za kulevya haviachani

Waxhaga pmj na kupenda fedha Ila dili la madawa ya kulevya humkuti nalo
Msipende ku judge kitu kutokana na Imani ya mtu.

Godfather wa Mihadarati duniani kote na ambaye hajawahi kutokea, Pablo Emmilio Escobar Gavilla alikua Roman Catholic mzuri tu,na alikua anasali sala zote ikiwemo 'Baba yetu uliye mbinguni' but at a same time alikua muuwaji na Godfather wa madawa.

Tuendelee kupiga vita hizi biashara pasipo kuingiza hisia za kidini ndani yake.
 
kuna mwamba mmoja kati ya mwaka 2016 au 2020 alikamatwaga kwa kipindi hicho ndie alikuwa Godfather wa mihadarati bongo... ile nyumba yake ya magomeni aliijenga kwa tofari za kuchoma kutoka mkoani

🤣🤣🤣 kwao huko Morogoro imagine mtu anajenga gorofa kwa tofari za kuchoma kutoka Morogoro 🤣🤣🤣🤣
ila ni kagorofa tu ka gorofa 1...!

kwenye ile nyumba ndipo mimi nilipo kulia alipo inunua pale kwa jeuri ya fedha wapangaji wote wakiwemo wazazi wangu jamaa aliwalipa kodi ya miezi 6 waondoke wasimbughuzi...!

alikuwa anaitwa MTAMA MCHUNGU kama sijakosea...!​
Dah namjuwa vizuri huyo mzee
Kwake ilikuwa kama ofisi ya ubalozi,mihuri,dokumaa nk
Mipango yote inafanyika

Ova
 
Msipende ku judge kitu kutokana na Imani ya mtu.

Godfather wa Mihadarati duniani kote na ambaye hajawahi kutokea, Pablo Emmilio Escobar Gavilla alikua Roman Catholic mzuri tu,na alikua anasali sala zote ikiwemo 'Baba yetu uliye mbinguni' but at a same time alikua muuwaji na Godfather wa madawa.

Tuendelee kupiga vita hizi biashara pasipo kuingiza hisia za kidini ndani yake.
Wamexico,wabrazil na walatin wengine wakristo kindakindaki
Lkn ndy wauza unga wakubwa

Ova
 
Msilete dini kwenye madawa, america huko drug mules wote ni wakatoliki, gangs zinazosumbua serikali zao huko wamevaa hadi rozari
 
Pamoja na changamoto zote za harakati za kimaisha lakini siku zote jifunze kuweka mizani Sawa kati ya msukumo wa matakwa ya nafsi na matumizi ya akili yako...........

Kumbuka kuwa pamoja na matamu unayaona kwenye dunia lakini mwisho wa siku yote ni batili............dunia mapito........bwana mdogo Gardner amelala usingizi wa umauti.....kaacha majumba na mali zingine za thamani......na huu ndio mwisho wa kila chenye Uhai......
Humujui Gardiner kwa undani,hebu niambie kaacha nyumba wapi na mali nyingine wapi???

Hapo alipokua anaishi alikua kapanga kwa taarifa zako

Alipoachana na Jay,alipaswa kutafuta sana mali kwa nguvu zote,lakini hakuliona hilo,matokeo yake Jay De akawa anamtungia nyimbo kila kuchao,na mwisho wa siku akawa mlevi wakupindukia
 
Back
Top Bottom