X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
Kwa sababu hauna akili...
We binti mtoto wa 2000 maneno gani hayo? Ni bahati mbaya au umekusudia?
Maana namjua mwanangu umetulia. Ndio maana nikashangaa. Haya nimekusamehe mjomba wako.Nisamehe mkuu
Tafsiri tafadhali, sisi wa la saba B hatujaambulia kitu.Certain Routes Coupled With Poor Modus Operandi, As Well As Looks, Makes You Become An Easy Suspect !!!
Kucha elf 10Kucha Mara ya mwisho nilisikia cha ukucha ilikiwa 2000 tena zamani kidogo na sio pure... sasa imagine kilo moja ina nusu kucha ngapi ndani yake? Ile ni starehe ya matajiri
MKuuu KULE NDIO KULEE MAPITIO YAO SIJUI WALIBADILI VIONGOZI WAKAJA BA SHERIA KALI SANA ANAEKAMATWA NA MADAA WEWEE WOTE WAKAKIMBIA HIO NJIA HUYU FALA NAHISI ALIJISAHAU MASIKNIInaonesha Ethiopia hapapitiki kirahisi na mzigo
Huiiihuiiii ya mwishòo nimechekaaaaa nawaza shemeji alikamatwaga boda tulivyoyotesekaaa uwiii sicheki kwa mazuri siku tunaenda tukasikia kafia hospital alizidiwa nilisema kazi ya Mungu haina makosa kha umeona matesp yetu..sasaa huyu mbwaa mpaka selo za Addis watakunya sbabauniA TANZANIAN NATIONAL ARRESTED AT BOLE AIRPORT WITH 1.34KG OF COCAINE On 18/04/2024 at 19:40 at Transit lounge At Bole International Airport In Addis Ababa Ethiopia Police have arrested a suspicious Passenger SADICK ABRAHAMAN ALLY , Tanzanian, 60 yearS Old, Born and Grew up in Tanga ,Passport number TAE 266469.
The passenger was travelling from Sao Paulo ( GRU ) transiting at Bole International airport to Entebbe International Airport on Flight ET 5O7 and then on flight ET 334 to EBB and took the suspicious passenger to X ray where indicated Positive and on interrogation he admitted to have swallowed about Kg of Cocaine . The passenger is beeing held by Ethiopia police for discharge of the Pellets and further Investigation and Legal action .
Punda amekataa kustaafu kazi yake, mwenye mzazi wake aende rumande za Addis Ababa kumpelekea sabuni na majView attachment 2971480
Ndugu andika na wosia kabisaNaombeni connection wakuu kazi naiweza
si mashine ndio imeditect au sijaelewa vizuri hapo juu...?Panapitika sana, Mzee alikua na wenge tu...!!!
Nimeshashuhudia mtu akikamatwa hapo Airport ya Ethiopia, alikua mbele yangu kwenye Q, yule Brother alikua hawezi kutulia, kila kitu anatizama yeye, kavaa Kofia flani, Silver kama zote Shingoni.....!
Binafsi nilisema huyu mtu amebeba mzigo, hapo kuna maafisa wapo uwanjani, mmoja mbele na wengine pembeni, kazi yao ni kumtizama abiria mmoja mmoja.....!
Baadaye naona ofisa mmoja kasogea pale ....!
"Hello Sir..... How are you doing today...!?".......
Ikawa Jumapili tena upande habari yake ikaishia hapo...!
Huyo Mzee alikua ana nafasi ya kutoboa, ukizingatia alikua ni Transit, ila ni kitete chake tu ndo kimemkamatisha....!
MKuuu KULE NDIO KULEE MAPITIO YAO SIJUI WALIBADILI VIONGOZI WAKAJA BA SHERIA KALI SANA ANAEKAMATWA NA MADAA WEWEE WOTE WAKAKIMBIA HIO NJIA HUYU FALA NAHISI ALIJISAHAU MASIKNI
baadhi ya ruti ,ukichanganya na njia za kichovu alizotumia kusafirisha bila kusahau muonekano wa huyo mzee. Hivyo vitatu ndivyo vimemfanya iwe rahisi yeye kushtukiwa.Tafsiri tafadhali, sisi wa la saba B hatujaambulia kitu.
Mkuu nimeomba samahanihaya jui maisha huyo kula kulala... hapo alipo anategemea kuolewa...! hao watoto waliokuta kila kitu mezani unadhani atakuelewa...!
Itakuwa aliangalia movie ya The Mule
Actor 90 years old Clint Eastwood
Na yeye akaona hawatamshuku
msamaha wako umekubaliwa... I LOVE YOU... malkia ELIZABETH 🥰🤩🥰🤩Mkuu nimeomba samahani
Nitaongeza umakini wa kufikiria kabla ya kuandika chochote
Paulo huuuyuu wacahaga wanaitaaa mbafuuuù kabisaaa khaabaadhi ya ruti ,ukichanganya na njia za kichovu alizotumia kusafirisha bila kusahau muonekano wa huyo mzee. Hivyo vitatu ndivyo vimemfanya iwe rahisi yeye kushtukiwa.
Ndicho alichomaanisha mwandishi