Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Ndugu zangu mimi ni mtanzania, ila watanzania tunahitaji mabadiliko makubwa sana hasa kwenye sekta ya ajira.
Watanzania tunaringa, wavivu japo siyo wote ila asilimia kubwa tupo hivyo, nenda kwenye mabank, hosptalini, nida, manispaa, tra kwenye viwanda nakadhalika, aiseeh utachoka.
Alafu umkute ana elimu yake utamwambia nini? Yaani unamueleza shida yako anakutizama kana kwamba unamkera, wakati yupo pale kutimiza majumu yake pia kujipatia kipato.
Niliwahi kwenya ofisi moja ya serikali yule dada sitokuja kumsahau alikataa katukatu kunihudumia, ananitizama juu mpaka chini kaka jiongeze hilo tatizo nalimaliza chap hapa, huku akichezea smartphone yake.
Ndugu zangu mtanisamehe sana kama kuna yeyote nimemkwaza, tubadilike.