Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 826
- 1,622
Thina maZulu siyawathanda amaTanzania futhi akufanele usixoshe ezweni lakini.
sisi sote ni ndugu
🇿🇦🇹🇿
sisi sote ni ndugu
🇿🇦🇹🇿
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, ndio utakuwa na fedha za kutosha ila kumbuka jamii nyingi za waafrika wamejaa chuki, ujinga na wivu kutokana na umaskini wao.
Wata anza kukuonea wivu pengine hata kuku ua.
Kuna familia moja ni wakazi wa kisii nchini kenya, walitoka Kuishi Marekani na kuhamia Kenya kuishi na kufanya uwekezaji.
Ila walikuja vamiwa na majambazi,waka uwawa.
Hii ni kutokana na mentality za waafrika wengi kudhani ukitoka Ughaibuni umejaa Mahela sana.
Ndio maana mkuu nakwambia hivi,
Kuishi na waafrika hata kama una Hela lazima ujifiche fiche sana, Maana wana mentality za kipumbavu sana.
Kwa nchi za ughaibuni mfano USA, Hata ukinunua ndege hakuna wa kukuonea wivu ni kawaida sana.
Waafrika wana upumbavu wa milele.
Na mentality za wivu, chuki,husda na tamaa.
Kuishi nao inahitaji Akili sana.
Wana laana, uafrika hasa utanzania ni laana
Acha Fikra za kimaskini.Maisha ya nje ni utumwa labda uende kama mtalii, uwe umepata ajira huko au uwe na hela nyingi kama wanasiasa... Vinginevyo ule msemo wa laiti ningejua utakuwa wako
Kwa nime kuambia naishi nao?sasa kama unahela kwanini uishi nao hao wenye mentality hizo.
Ushatembelea nchi ngapi mpaka ukafikia conclusion hii?Hii mada inawahusu ma expert na wale wrnzangu na Mimi, Yaani wale ambao hawana elimu au elimu yako sio dili katika soko la ajira ulimwenguni.
Tanzania ukilipwa mshahara hata millioni Moja na nusu unainjoi kuliko anayelipwa mamilioni huko nje.
South Africa vijana wa kitanzania wanakufa kama nzi.
Huko nje utabaguliwa sana, na maisha ya upweke yana faida gani huku bongo fursa nyingi?
Naona kazi kuendelea kuandika.
Nendeni mkale bata huko ulaya .
Shida sio kuwa na fani shida ni una investment gani ? Ndio sikatai kuna madaktari na kuna watu wanafanya kazi makampuni makubwa lakini kama mtu hana nyumba huku na pia hana nyumba au kiwanja nyumbani huyo tunasema anafanya nini. System ya huku imetengenezwa uwe na hela ya kula na kuenjoy kidogo. Ila ukijibana ukarudi nayo bongo unaweza kufanya mambo makubwa sana. Huku sio sehemu ya kuzeekea tembea ulaya na marekani yote angalia maisha ya wazee. Ndo maana ninawaasa watanzania wenzangu huku ni sehemu ya kujiimarisha na kurudi nyumbani na kupiga hela. Kuna watu wamechukua uraia wa nchi zilizoendelea bado wanakuwa treated kama second class citizens. Wanatamani warudi nyumbani lakini inakuwa too late. Kama tulivyoshuhudia yule Mtanzania Raia wa Uingereza alivyozuiwa pale uwanja wa ndege. Hakuna mtu aliyerudi Tanzania baada ya kujiimarisha kiuchumi na kitaaluma katika nchi hizi anaishi maisha mabovu. Tofauti ni kuna wale watoto wa mama wanalipiwa ada ya chuo na kupewa pocket money hao ndio wakirudi bongo wanaishia kuvuta bangi maana hakuna walichojifunza huku. Namalizia kuwa ili uchukue maarifa muhimu katika nchi hizi zilizoendelea inabidi uwe certified na ufanye kazi usikae kizembe gonga mzigo. Kwenye kazi utajifunza mengi ambayo ukirudi nyumbani uta apply.huko huko Germany Kuna waliotoboa, wanaishi vizuri na home wame invest. Mbona huwataji hao? Kama mifano ya kuigwa? Kuna wengine nawajua hapo hapo Germany especially wakenya….wengine wameenda kama house girls..leo wamejiendeleza wana taaluma nzuri tuu. Some of them ni madaktari. I know them.
Watanzania tuache negativity. Kuishi nje siyo lelemama. Lazima ukomae kweli kweli. Kama ni kilimo..ni kile cha Nyerere cha kufa na kupona!
Na fursa ya kuishi Ulaya, better was expected from you. But wapi!
Miaka 5 kidogo sanaMimi nipo Ujerumani ninakubaliana na wewe lakini kwa asilimia 50. Ni vizuri kuja nje na ni vizuri zaidi kama umekuja kusoma na kufanya kazi. Lakini ushauri wangu ni kuwa usibweteke ukafocus kwenye kuhamia nje moja kwa moja. Fanya kazi, save hela then rudi nyumbani. Exposure ulioipata huku itakusaidia sana nyumbani, kuna watu wana miaka ishirini Ujerumani lakini hawana nyumba wala investement yoyote. Yaani mtu anaona aibu kurudi nyumbani. Lakini waliorudi nyumbani wamepiga hatua kubwa sana. Nje ukikaa sana ufanye kazi miaka mitano maximum excluding miaka ya kusoma.
CCM ni janga.Hii mada inawahusu ma expert na wale wrnzangu na Mimi, Yaani wale ambao hawana elimu au elimu yako sio dili katika soko la ajira ulimwenguni.
Tanzania ukilipwa mshahara hata millioni Moja na nusu unainjoi kuliko anayelipwa mamilioni huko nje.
South Africa vijana wa kitanzania wanakufa kama nzi.
Huko nje utabaguliwa sana, na maisha ya upweke yana faida gani huku bongo fursa nyingi?
Naona kazi kuendelea kuandika.
Nendeni mkale bata huko ulaya .