Mtathmini mpenzi wako, anafaa kuwa mke/mme?

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Wew nawe una matatizo Sasa afanyaje
 
Halafu nyie wabishi huwa mnapewa miaka mingi ya kulia na kusaga meno, unaweza ukagonga 90; sijui ni nani atakuwa anakusaidia
Mkuu nikifikia level hiyo yakuchoka kiasi chakushindwa kujiweza
Naamini nitakuwa sijitambui nimesha poteza memories na sidhan kama nita kumbuka kujuta kwann niliamua kuwa red pilled.

Lkn ndoa haimaanishi kuwa hautateseka mwisho wa safari.

Tunagawana vipindi vya kuhustlE maisha safar changamoto njiani zipo mixer kuchimba dawa.
So kama nitateseka baadae nisehemu ya safar.

Au unamaanisha tukifika paradiso nako sir God atasema wakataa ndoa piteni huku.
 
Haya mambo yalinishinda kwa kweli,plus makelel kama bosi wa kihindi ama kiarabu dah
 
Chukulia mfano, hapo ulipo ukavunjika miguu; itakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…