Mtathmini mpenzi wako, anafaa kuwa mke/mme?

Nimetoka kufuta namba za pisi moja hapa. Inataka mda wote mchat tu, na akituma text haraka ijibiwe.

Text zenyewe hazina flow, utashangaa katuma text inasema, "Mambo!" Ukijibu atatuma tena "Niambie!".. Hapo ukikaa kimya au ukimwambia upo bize linakuja gazeti la sms za malalamiko!!! Arghhh...
😀😀😀Wew nawe una matatizo Sasa afanyaje
 
Halafu nyie wabishi huwa mnapewa miaka mingi ya kulia na kusaga meno, unaweza ukagonga 90; sijui ni nani atakuwa anakusaidia
Mkuu nikifikia level hiyo yakuchoka kiasi chakushindwa kujiweza
Naamini nitakuwa sijitambui nimesha poteza memories na sidhan kama nita kumbuka kujuta kwann niliamua kuwa red pilled.

Lkn ndoa haimaanishi kuwa hautateseka mwisho wa safari.

Tunagawana vipindi vya kuhustlE maisha safar changamoto njiani zipo mixer kuchimba dawa.
So kama nitateseka baadae nisehemu ya safar.

Au unamaanisha tukifika paradiso nako sir God atasema wakataa ndoa piteni huku.
 
Nimetoka kufuta namba za pisi moja hapa. Inataka mda wote mchat tu, na akituma text haraka ijibiwe.

Text zenyewe hazina flow, utashangaa katuma text inasema, "Mambo!" Ukijibu atatuma tena "Niambie!".. Hapo ukikaa kimya au ukimwambia upo bize linakuja gazeti la sms za malalamiko!!! Arghhh...
Haya mambo yalinishinda kwa kweli,plus makelel kama bosi wa kihindi ama kiarabu dah
 
Mkuu nikifikia level hiyo yakuchoka kiasi chakushindwa kujiweza
Naamini nitakuwa sijitambui nimesha poteza memories na sidhan kama nita kumbuka kujuta kwann niliamua kuwa red pilled.

Lkn ndoa haimaanishi kuwa hautateseka mwisho wa safari.

Tunagawana vipindi vya kuhustlE maisha safar changamoto njiani zipo mixer kuchimba dawa.
So kama nitateseka baadae nisehemu ya safar.

Au unamaanisha tukifika paradiso nako sir God atasema wakataa ndoa piteni huku.
Chukulia mfano, hapo ulipo ukavunjika miguu; itakuwaje?
 
Back
Top Bottom