Mwingine ni hulka yake mwingine Hana kazi mwingine anapenda kupewa attention km Mimi siwez kumsumbua lakin mtu akinisumbua napenda so tunatofautiana muhimu kuyaongea ila kulalamika sana inachoshahamuelewagi
Hahahaha nimecheka sanaAkisema anataka mcha Mungu.
Let Jesus be her Man.
Mkuu umeamua kunivunja miguu!Chukulia mfano, hapo ulipo ukavunjika miguu; itakuwaje?
mtu hana ratiba,anataka umpigie,umtext akipiga upokee haraka ,yakanishinda,kuna wanawake wengine bwana,yaani mtu anataka nifunge ofisi ,niende kumfuata stand tena kwa daladala na hana mizigo,kama sio umafia ni nini?Mwingine ni hulka yake mwingine Hana kazi mwingine anapenda kupewa attention km Mimi siwez kumsumbua lakin mtu akinisumbua napenda so tunatofautiana muhimu kuyaongea ila kulalamika sana inachosha
😀😀Sasa ndo unanuna muelekeze tu Jamani kunanamna tuna vitabia vya ovyo nilimfata mtu parefu aje anifungie taa 😀😀😀 kusema kweli Kilammtu ana nmana yake inayomfanya ajihis anapedwa japo ukiwa na hasira utashindwa kumuelewa mwenziomtu hana ratiba,anataka umpigie,umtext akipiga upokee haraka ,yakanishinda,kuna wanawake wengine bwana,yaani mtu anataka nifunge ofisi ,niende kumfuata stand tena kwa daladala na hana mizigo,kama sio umafia ni nini?
wewe mwanaume akikusumbua hivyo hutochukia??😀😀😀Wew nawe una matatizo Sasa afanyaje
Mimi anisumbue Kiasi Sipend niseme ukweli lakin ussipofanya hivo Yani mtu anahis humpend au labda unamtu mwingine kumbe wla mambo ya kutaka kuchat chat sio mpenz Nina siku Nina kuwa namood kuna siku mmhwewe mwanaume akikusumbua hivyo hutochukia??
Nasagia kunguni ila nyuma ya pazia nawaineaga huruma.Hahahaha nimecheka sana
Maneno kuntu haya...Kuna pointi moja kubwa watu huwa wanasahau kuifikiria; jaribu kumfikiria huyo unayetaka kuwa naye, leo uko hoi hujitambui unajisaidia pale, atakuwa tayari kukuosha?
Alafu kunawasumbufu wa. Kimapenz yani anapenda kukusumbua kukuchatisha vitu vizuri upendo story za kufurahisha hachoshi lkn mwingine ni usumbufu tu niambie my,niambie my yule jiraniyako yupo😂😂😂🤣wewe mwanaume akikusumbua hivyo hutochukia??
SAWA,mengine yanaeleweka sasa nifunge ofisi tena huduma muhimu na hapo hapo unidai matumizi,na makelele juu,finally akasema simjali ,wakati nimeajiliwa ,hospitali niliajiliwa kama daktari,lakini mimi nilisoma fani mbili za afya kwa level tofauti,sasa kuna siku nipo zamu kama daktari,maabara mashine ya FBP ikasumbua,ikabidi HR aje aniombe nikawarekebishie,dah ile nimeanza kurecalibrate sms ikainia mimi nikiwa na kazi muhimu sigui simu,dk 10 akapia simu tena saa saba mchana,nikajiuliza huyu hajui kama nipo kazini,na mashine za maabara zinahitaji utulivu wa akili ,nikazima simu,nikasema siwashi mpaka home nikirudi,aise nilikutana na makelele ikabidi nitoke nikatulie sehemu😀😀Sasa ndo unanuna muelekeze tu Jamani kunanamna tuna vitabia vya ovyo nilimfata mtu parefu aje ianifungie taa 😀😀😀 kusema kweli Kilammtu ana nmana yake inayomfanya ajihis anapedwa japo ukiwa na hasira utashindwa kumuelewa mwenzio
wote hapana kwa kweli😂 kila kitu kwa kiasi, na wengine wanataka kunyanduana kila saa, piga chini😂Alafu kunawasumbufu wa. Kimapenz yani anapenda kukusumbua kukuchatisha vitu vizuri upendo story za kufurahisha hachoshi lkn mwingine ni usumbufu tu niambie my,niambie my yule jiraniyako yupo😂😂😂🤣
Vocal Fremitus
Huyu wa pili atakuwa ndio wako😂😂
Hujapata mpenz muongeaji wew alafu umempenda utasikiliza tu utake usitakewote hapana kwa kweli😂 kila kitu kwa kiasi, na wengine wanataka kunyanduana kila saa, piga chini😂
sasa ulitaka afanye nini?,usikute huyu Equation x ni baba Lolayaani unampa binti mimba ili umkomoe?? we mzee kumbe fala
au sijaelewa??
sasa mimi sio muongeaji nina udomo zege, siwezi kumvutia mwanamke ambaye ni muongeaji, kwanza siwapendi😂Hujapata mpenz muongeaji wew alafu umempenda utasikiliza tu utake usitake
Mm km kuchat sawa siku moja moja fresh ila live sipend kelele na siwez kuongea sana hivo Yani kelele kelele nope
Nani atakuwa anasukuma baiskeli yako kwenda kuomba omba?Mkuu umeamua kunivunja miguu!
Hahaha.
Sasa mkuu kwan ulemavu ni mwisho wa maisha!
Nitaishi kama walemavu wengine
Inabid upate muongeaji akuchangamshesasa mimi sio muongeaji nina udomo zege, siwezi kumvutia mwanamke ambaye ni muongeaji, kwanza siwapendi😂
Yatak uvumilivu wengine hasira tu 😂😂SAWA,mengine yanaeleweka sasa nifunge ofisi tena huduma muhimu na hapo hapo unidai matumizi,na makelele juu,finally akasema simjali ,wakati nimeajiliwa ,hospitali niliajiliwa kama daktari,lakini mimi nilisoma fani mbili za afya kwa level tofauti,sasa kuna siku nipo zamu kama daktari,maabara mashine ya FBP ikasumbua,ikabidi HR aje aniombe nikawarekebishie,dah ile nimeanza kurecalibrate sms ikainia mimi nikiwa na kazi muhimu sigui simu,dk 10 akapia simu tena saa saba mchana,nikajiuliza huyu hajui kama nipo kazini,na mashine za maabara zinahitaji utulivu wa akili ,nikazima simu,nikasema siwashi mpaka home nikirudi,aise nilikutana na makelele ikabidi nitoke nikatulie sehemu
sasa mimi ni mkali ila nilishaapa kuto kupia mwanamke nateseka na hasira,hizi simu ilikuwa ikikaa sana ni mwaka,maana nabamiza chini kumaliza hasira nikichelewa kuondoka hapoYatak uvumilivu wengine hasira tu 😂😂
😀😀Punguza hasirasasa mimi ni mkali ila nilishaapa kuto kupia mwanamke nateseka na hasira,hizi simu ilikuwa ikikaa sana ni mwaka,maana nabamiza chini kumaliza hasira nikichelewa kuondoka hapo