Mtathmini mpenzi wako, anafaa kuwa mke/mme?

Mtathmini mpenzi wako, anafaa kuwa mke/mme?

Mwingine ni hulka yake mwingine Hana kazi mwingine anapenda kupewa attention km Mimi siwez kumsumbua lakin mtu akinisumbua napenda so tunatofautiana muhimu kuyaongea ila kulalamika sana inachosha
mtu hana ratiba,anataka umpigie,umtext akipiga upokee haraka ,yakanishinda,kuna wanawake wengine bwana,yaani mtu anataka nifunge ofisi ,niende kumfuata stand tena kwa daladala na hana mizigo,kama sio umafia ni nini?
 
😀😀Sasa ndo unanuna muelekeze tu Jamani kunanamna tuna vitabia vya ovyo nilimfata mtu parefu aje anifungie taa 😀😀😀 kusema kweli Kilammtu ana nmana yake inayomfanya ajihis anapedwa japo ukiwa na hasira utashindwa kumuelewa mwenzio
 
Hahahaha nimecheka sana
Nasagia kunguni ila nyuma ya pazia nawaineaga huruma.
Ngoja
This time nisikuchekeshe

Ngoja nikung'amulie tafsiri ya hiyo sentesi.

Anataka mtu ambae atamsamehe pindi atakapo mcheat kama vile Mungu ameagiza.
Anataka mtu ambae atakubali kula makombo ,yes Mungu kasema tupendane retired hoes deserve a husband too.

Anataka mtu ambae atavumilia kulea watoto wa mwingine japokuwa hao watoto wata mdisrespect .
 
wewe mwanaume akikusumbua hivyo hutochukia??
Alafu kunawasumbufu wa. Kimapenz yani anapenda kukusumbua kukuchatisha vitu vizuri upendo story za kufurahisha hachoshi lkn mwingine ni usumbufu tu niambie my,niambie my yule jiraniyako yupo😂😂😂🤣
Vocal Fremitus
Huyu wa pili atakuwa ndio wako😂😂
 
😀😀Sasa ndo unanuna muelekeze tu Jamani kunanamna tuna vitabia vya ovyo nilimfata mtu parefu aje ianifungie taa 😀😀😀 kusema kweli Kilammtu ana nmana yake inayomfanya ajihis anapedwa japo ukiwa na hasira utashindwa kumuelewa mwenzio
SAWA,mengine yanaeleweka sasa nifunge ofisi tena huduma muhimu na hapo hapo unidai matumizi,na makelele juu,finally akasema simjali ,wakati nimeajiliwa ,hospitali niliajiliwa kama daktari,lakini mimi nilisoma fani mbili za afya kwa level tofauti,sasa kuna siku nipo zamu kama daktari,maabara mashine ya FBP ikasumbua,ikabidi HR aje aniombe nikawarekebishie,dah ile nimeanza kurecalibrate sms ikainia mimi nikiwa na kazi muhimu sigui simu,dk 10 akapia simu tena saa saba mchana,nikajiuliza huyu hajui kama nipo kazini,na mashine za maabara zinahitaji utulivu wa akili ,nikazima simu,nikasema siwashi mpaka home nikirudi,aise nilikutana na makelele ikabidi nitoke nikatulie sehemu
 
Alafu kunawasumbufu wa. Kimapenz yani anapenda kukusumbua kukuchatisha vitu vizuri upendo story za kufurahisha hachoshi lkn mwingine ni usumbufu tu niambie my,niambie my yule jiraniyako yupo😂😂😂🤣
Vocal Fremitus
Huyu wa pili atakuwa ndio wako😂😂
wote hapana kwa kweli😂 kila kitu kwa kiasi, na wengine wanataka kunyanduana kila saa, piga chini😂
 
Hujapata mpenz muongeaji wew alafu umempenda utasikiliza tu utake usitake
Mm km kuchat sawa siku moja moja fresh ila live sipend kelele na siwez kuongea sana hivo Yani kelele kelele nope
sasa mimi sio muongeaji nina udomo zege, siwezi kumvutia mwanamke ambaye ni muongeaji, kwanza siwapendi😂
 
SAWA,mengine yanaeleweka sasa nifunge ofisi tena huduma muhimu na hapo hapo unidai matumizi,na makelele juu,finally akasema simjali ,wakati nimeajiliwa ,hospitali niliajiliwa kama daktari,lakini mimi nilisoma fani mbili za afya kwa level tofauti,sasa kuna siku nipo zamu kama daktari,maabara mashine ya FBP ikasumbua,ikabidi HR aje aniombe nikawarekebishie,dah ile nimeanza kurecalibrate sms ikainia mimi nikiwa na kazi muhimu sigui simu,dk 10 akapia simu tena saa saba mchana,nikajiuliza huyu hajui kama nipo kazini,na mashine za maabara zinahitaji utulivu wa akili ,nikazima simu,nikasema siwashi mpaka home nikirudi,aise nilikutana na makelele ikabidi nitoke nikatulie sehemu
Yatak uvumilivu wengine hasira tu 😂😂
 
Back
Top Bottom