SAWA,mengine yanaeleweka sasa nifunge ofisi tena huduma muhimu na hapo hapo unidai matumizi,na makelele juu,finally akasema simjali ,wakati nimeajiliwa ,hospitali niliajiliwa kama daktari,lakini mimi nilisoma fani mbili za afya kwa level tofauti,sasa kuna siku nipo zamu kama daktari,maabara mashine ya FBP ikasumbua,ikabidi HR aje aniombe nikawarekebishie,dah ile nimeanza kurecalibrate sms ikainia mimi nikiwa na kazi muhimu sigui simu,dk 10 akapia simu tena saa saba mchana,nikajiuliza huyu hajui kama nipo kazini,na mashine za maabara zinahitaji utulivu wa akili ,nikazima simu,nikasema siwashi mpaka home nikirudi,aise nilikutana na makelele ikabidi nitoke nikatulie sehemu