Mtatiro amaliza utata ishu ya Manara ya jana. Atoa ufafanuzi kisheria

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Huyu jamaa ni genius sana halafu si kala bachelor degree ya sheria juzijuzi tu? hii nchi ina wasomi wakali sana wa sheria

mtatiro.jpg
 
View attachment 2316817
Hukumu aliyo pewa haji ni kuto kujishughulisha na shughuli yoyote ya ki soka ... Bold hapo shughuli yoyote ya soka ,...shughuli iliyo kuwa inaendelea uwanja wa benjamin mkapa ni shughuli ya ki soka mwanzo mwisho

Unless angejitokeza tu kama mtazamaji, lkn kitendo cha ku tekeleza majukumu ni tayari umejishughulisha na shughuli ya soka hapo ni SPANA TU
 
Hukumu aliyo pewa haji ni kuto kujishughulisha na shughuli yoyote ya ki soka ... Bold hapo shughuli yoyote ya soka ,...shughuli iliyo kuwa inaendelea uwanja wa benjamin mkapa ni shughuli ya ki soka mwanzo mwisho
Kutambulisha wachezaji siyo shughuli ya soka Uwe mwelewa. Ile ni kama sendoff tu na siyo harusi. Kwani Mario angevua nguo pale jukwaani angeshitakiwa na TFF? Mbona Mtibwa hawajatabulisha wachezaji kama Yanga na Simba, kuna kanuni wamevunja?
 
Mario asingewajibishwa ila uongozi wa yanga ingewajibishwa
 
Kutambulisha wachezaji siyo shughuli ya soka Uwe mwelewa. Ile ni kama sendoff tu na siyo harusi. Kwani Mario angevua nguo pale jukwaani angeshitakiwa na TFF? Mbona Mtibwa hawajatabulisha wachezaji kama Yanga na Simba, kuna kanuni wamevunja?
Ww ukielewa shughuli ya soka basi unajua ni kupiga tu mpira ? Ilo neno litamweka pabaya huyo Haji,

Kama kesi ya msingi alishindwa kuwasilisha vielelezo vya ushabidi madhubuti unafikiri ndio ataweza ktk tafasili ya neno shughuli yoyote ya soka ...
 
Kutambulisha wachezaji siyo shughuli ya soka Uwe mwelewa. Ile ni kama sendoff tu na siyo harusi. Kwani Mario angevua nguo pale jukwaani angeshitakiwa na TFF? Mbona Mtibwa hawajatabulisha wachezaji kama Yanga na Simba, kuna kanuni wamevunja?
Wachezaji waliotambulishwa na haji pale jana ni wa mchezo gani??
Ngumi? Riadha?Tennis?? Basket? Au hebu nisaidie??

Na tamasha lile lilikua la team ya mchezo upi? Na lilihusisha nn jana, nipe ufahamu nataka kuelewa.
 
Hao wachezaji ambao walitambulishwa ni Jabbawockeez crew au ni wachezaji wa soka?
 
Mfichie uoumbavu wake basi, haji haruhusiwi hata kuvaa bukta ya mpira sembuse kusherehesha yanga dei
 
Wachezaji waliotambulishwa na haji pale jana ni wa mchezo gani??
Ngumi? Riadha?Tennis?? Basket? Au hebu nisaidie??

Na tamasha lile lilikua la team ya mchezo upi? Na lilihusisha nn jana, nipe ufahamu nataka kuelewa.
Ukijibiwa nifahamishe!
 
Njaakali kwanza umekula au unaanzishathread upoteze mda na story zako za vijiwe vya kahawa mwambie huyo mwanasheria wako mbn mwanzo hakusema ayo manen yake au bdo mpo zama za kiki...NYAMBAF
 
Huu ugomvi ni personal, Karia Vs Manara. Wala siyo Manara Vs TFF au kanuni za mpira.

Na ni kwa nini makosa ya Manara yawe na adhabu kubwa kuliko ya CEO wa Simba Babra na Mwenyekiti wa Simba akati yote ni yaleyale?
Makosa yote ya Manara aliyo yafanya akiwa Yanga amewahi kufanya akiwa Simba. Hakuchukuliwa hatua. Leo yupo Yanga, ni msala.

Mdau JF: Taarifa zinadai secretariat ndio ilipeleka shauri kwenye Kamati ya Maadili ya TFF. Baada ya hiyo Secretariat pia Kupokea Malalamiko kutoka Kwa karia.

Mawakili Wa Manara wanasema ukifanya perusal kwenye faili lililoko kwenye Kamati ya Maadili ya TFF kutoka secretariat ya TFF hakuna popote ambapo Karia ameandika malalamiko yake. Hivyo ana jificha nyuma ya Kamati.

Kama sivyo, rufaa ime katwa. Wote waitwe wasikilizwe upya kama Waarifu wote. Kitendo cha ww kufungua shauri na huyo huyo kuwa Hakimu bila Karia kuhojiwa kuna force au interest ina husika hapo. Mzani u balance.
.
Mimi nashangaa Kwa nn Kamati haikumuita Karia atoe utetezi wake ?
 
Mtatiro ni mwanasheria nguli,uwa ashindwi kesi uyo mkurya, ndie mwanasheria anaeongoza kwa kushinda kesi nyingi Africa nzima,anajua sheria mpaka mataifa ya nje uwa yanamtumia kushinda kesi zao, yaani kwa kifupi sio kanjanja na hana njaa,hata icho cheo chake cha mkuu wa wilaya walifanya kumbembeleza mno alikuwa hataki kabisa,nchi hii ina ujinga sana
 
Angekuwa anawatambulisha kanisani au msikitini sawa..tuache kutetea ujinga

Back
Top Bottom