Mtawaficha wote ila siyo GENTAMYCINE, haya Tangazeni upesi kuwa na Kipa wenu Mnata mmemuadhibu kama mlivyomuadhibu Mkude

Unapenda umbea kama mwanamke wa uswahilini.
 
Mnata na mkude walisimamishwa kwa muda kwa utovu wa nidhamu lakini wamesharudi kambini wanaendelea na mazoezi
 
Mnata na mkude walisimamishwa kwa muda kwa utovu wa nidhamu lakini wamesharudi kambini wanaendelea na mazoezi
Kwanini mlifanya Siri wakati mengine huwa Mnashoboka wenyewe Kututangazia?
 
Kwani mambumbumbu wenzako lini walitangaza adhabu za wachezaji wao?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…