Mtawaficha wote ila siyo GENTAMYCINE, haya Tangazeni upesi kuwa na Kipa wenu Mnata mmemuadhibu kama mlivyomuadhibu Mkude

Kwa nini nyuzi za popoma always huwa ni hekaheka? Si mngekuwa mnakausha tu mnapita kimya kimya badala ya kumchokoza huku mkijua kabisa kuwa mtaoga matusi? 😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
Wakusikie na Wakuelewe kwa ulichowaambia.
 
Adhabu inapotolewa ni kati ya mwajiri na mwajiriwa sasa wewe ulitaka Yanga wamtangazie nani? Hayo mambo ya usela yapo kwenye timu yenu huko.
Yanga ni Club ya wanachama, Wanachama ndo waajiri so wanapsawa kupewa taarifa.
 
Kwa hiyo Gents nae ni mwanachama wa Yanga, au unajuaje kama wanachama hawana taarifa. Sio kila taarifa ni public.
 
Back
Top Bottom