Mtawala Saudi Arabia Mohammed Bin Salman alivunjika moyo kujua wazi hatamuoa binti wa mfalme wa Dubai

Babu unatuchanganyia mataputapu na bia. Izo picha zinahusiana vip? Na waarabu, Hawo ni wazungu, na sio waarabu
 
Tunataka uelewe lakini neno "wenye dini yao na mila zao" wewe mbongo unajipa umuhimu kwenye mila za waarabu are you okay?!😬🤔
 
Hao wote uliowaorodhesha hapo ndio wenye dini yao sasa,wewe ni mamluki tuu
 
Waarabu wa bongo bana! Wanajiona wao ndio wanajua uaraaabu, wanajifunika nguo gubigubi, kwa Wana wake. Wanaume vipedo na furushi la midevu lakini ona wenye dini na Mila zao wanakula Raha wewe wamekuachia utumwa. Eti unasubiri firidausiii .....ogopa
Katika kuonesha dini yako ni dini ya Lusifa,ni kuumia wengine kutekeleza Imani zao. Sasa we inakuuma Nini!?
Endeleeni kuwahimiza wake zenu wavae imini wachungaji wafaidi mapaja. Na ninyi endeleeni kuvaa kata "k" mapadri waendeleze kale kamchezo kao
 
Yumkini yeye mwenyewe muddy alishalijua hilo mapema kwamba wenye kitabu chao alichokaa akakichakachua kuna siku watamkalia kooni akaona azidi kubuni uwongo kwamba hajui kusoma wala kuandika ili ku-punch hoja zao!

Haya mambo yanazungumzika hata mimi leo nikifanya hujuma kwa kitu chako lazima nibuni chamber za kuchomokea ili siku ukihoji usinishike kiwepesi same kwa muhamd ndiyo mbinu aliyotumia
 
Hapa unakubali kabisa kila mtu ana haki ya kuvaa anavyotaka baadae tutakukuta kwenye uzi wa maandamano ya wanawake Iran kupinga kufunika kichwa. Chakushangaza huko utakua upande wa Serikali.
 
Hao wayahudi uliwataja siyo waislam na hata Sasa vizazi vyao wapo katika dini ya hao manabii na mitume naayo ni dini ya kiyahudi Judaism.
Uislam umekuja baadae sana acheni kujiendeleza kwa wayahudi na waebrania (Hebrew).
 
Amepata walinzi wapya ,majamaa yanamtazama bibie kwa pevu msosi
 
Mwenye akili timamu ni rahisi kujua kipi ni kitabu cha Mungu.
Qur-aan ni Moja tuu. Haijawahi kupigia mabadiliko yeyote toka imeletwa. Waislamu wa madhehebu yote wanaitumia hiyo tuu.

Biblia imepitia maelfu ya mabadiliko. Yapo matoleo mengi tuu ya biblia. Maneno mengi yameondoshwa na kuongezwa. Maneno yake mengi yanagongana.

Ndio sababu wakristo hawajui tofauti ya Mungu na Yesu
 
Hapa unakubali kabisa kila mtu ana haki ya kuvaa anavyotaka baadae tutakukuta kwenye uzi wa maandamano ya wanawake Iran kupinga kufunika kichwa. Chakushangaza huko utakua upande wa Serikali.
Hawa kaa nao kwa akili ni wanafiki duniani hakuna na haitawahi atokee mnafiki kuwazidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…