std7
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,293
- 3,928
Walimuwaisha chapPrincess Diana alitaka kuleta uarabu kwenye ufalme wa Kiingereza yaliyotokea wote mnafahamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walimuwaisha chapPrincess Diana alitaka kuleta uarabu kwenye ufalme wa Kiingereza yaliyotokea wote mnafahamu
Wakaona isiwe tabu hii damu ya kujilipua isiingie kwenye KasriWalimuwaisha chap
familia yake kama wazungu tuHawavai Baibui?
unaficha nywele za kichwan , kwan ni chafu ?Kujistiri ni ulimbukeni?utaelimika lini?
tafuta quran ya kisukuma uone kama utaipata , dini ya waarab hiyo , kiherehere chenu tuUislam sio dini ya muarabu.maana kuna mitume ya kiyahudi ilikuja kutangaza uislam.utume na kutangaza mungu mmoja hyo kazi ilianza kwa Adam,akaja,lutwi,nuhu ukaenda akaja Ibrahim na watoto wake ikaja kwa wajukuu zake.ikapotea ikarudi tena kwa musa,zakaria,akaja yahaya ikaja kwa yesu mpaka ikamfikia Muhammad. Utasemaje uislam ni dini ya muarabu?au dini ya Muhammad.?
mneamini mungu mmoja mngeua wanadamu wengine kisa sio waislam ?Tangu binadamu wa kwanza Adam.alihubiri Mungu mmoja.ambayo ndio shahada ya kuwa muislamu
ww ushawehuka tyrIbrahim na isihaka na is mail walihubiri dini gani?
ww kichwan haupo timamu , unaezaj pinga kuwa uislam si dini ya mwarab , kwann mnatumia kiarab kwenye quran ?Kwa taarifa yako hata hao waarabu walikua na dini zao za kijinga kabla ya kuja uislamu
waislam watalipinga na hili piaNdio, bwana yule aliibuka tayari manabii wote walishakuwepi, walishamaliza kazi Yao duniani akakusanya kusanya maneno kwenye tora ba bible ambavyo kabla ya kuleta hicho chake vilikuwepobtayari na jamii yake ilikuwa hazijui dini yoyote tofauti ya mawe ya kimila. Biashara na wajomba zake ugaibuni ndio zilimfumbua macho kuwa Kuna Mungu mmoja na vitabu vya dini. Hakusoma ila dlikuwa ana cramming capacity kubwa akisikia kimenasa. Akaja kuchanganya na yake paaa kawaambia kimeshushwa
Dubai ugaidi hauna nafasi...Hawavai Baibui?
Waarabu wa Nzega wa humu jf. Wafuasi wa boko haram na Hamas na alqaidaWaarabu wa bongo bana! Wanajiona wao ndio wanajua uaraaabu, wanajifunika nguo gubigubi, kwa Wana wake. Wanaume vipedo na furushi la midevu lakini ona wenye dini na Mila zao wanakula Raha wewe wamekuachia utumwa. Eti unasubiri firidausiii .....ogopa
KizimkaziUnataka kusema nini?
ama kweli ule msemo wa 'nyani haoni .... nini vile?'Waarabu wa bongo bana! Wanajiona wao ndio wanajua uaraaabu, wanajifunika nguo gubigubi, kwa Wana wake. Wanaume vipedo na furushi la midevu lakini ona wenye dini na Mila zao wanakula Raha wewe wamekuachia utumwa. Eti unasubiri firidausiii .....ogopa
Miaka 600 baada ya Yesu kupaa mbinguni.Hivi uislamu ulianza lini?
... kumbukumbu level ya kuku labda; Princess Haya bint Hussein - Wikipedia....
Kwa kumbukumbu tu ni kwamba siyo waarabu wote ni waislamu, pili huyo binti mama yake ni mzungu mmarekani (alikuwa mchezaji filamu) aliebadili dini kwa hivyo si ajabu kuvaa hivyo.
Mama yake Haya alikuwa ni mmisiriOf course mama yake huyo mama; I mean mke wa Hussein bibi yake hicho kibinti ni mwingereza pure! So, huyo mama mke wa Maktoum Uingereza ni kwa wajomba zake. Yuko ujombani na unajua nguvu za wajomba.
Suna sheikh!!1. Mfalme dini gani?
2. Ana agenda gani ya kumuwazia mtoto (chini ya miaka 18) mambo ya mapenzi? Huko Madrasa watoto wapo salama?
so kwavile alibadili sio sawa kumwita muislam??ama kweli ule msemo wa 'nyani haoni .... nini vile?'
Hivi nyinyi muliojivisha ukristo, mukaokoka na kujipa vyeo vya mitume na kujimwagia maji ya upako kweli muna mlahaka wa kuwasema wenzenu?
Kwa kumbukumbu tu ni kwamba siyo waarabu wote ni waislamu, pili huyo binti mama yake ni mzungu mmarekani (alikuwa mchezaji filamu) aliebadili dini kwa hivyo si ajabu kuvaa hivyo.
Pisi zote kwenye hizi picha ni mbovu, miguu kama ya kirikuuMzuka wanajamvi.
Mtawala wa Saudi Arabia Mohammed Bin Salman (MBS) aliahidiwa na mtawala wa Dubai al maktoum atamtunukia binti yake amuoe.
Lakini baada ya mtawala wa Dubai kugongewa mkewe Haya bint Hussein na mlinzi ndoto za MBS zikatoweka baada ya Hawa kutorokea uingereza na huyo binti pamoja na mdogo wake.
Inasemekana MBS ali huzunika sana. Hako kasichana ni pisi balaa.
Mfalme/mtawala wa Dubai na familia ya Salman ni marafiki wakubwa sana. Na walitaka kuimarisha urafiki zaidi bond kwa MBS kuoana na hako kabinti ambaye sasa hivi ni miaka 17.
Source: mama yake huyo binti Haya binti Hussein ambaye ni mdogo wake king Hussein wa Jordan alipokuwa akitoa ushaidi mahakmani uingereza.
View attachment 2900801View attachment 2900802
Kwa hiyo wakati Mungu ashamaliza mpango wa kuwakomboa wanadam ndipo baada ya karne sita kupita anatokea mwanadamu anasema katumwa na Mungu kuleta dini ya kweli yaan kama vile ndo Mungu anajifunua kwa wanadamu 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Miaka 600 baada ya Yesu kupaa mbinguni.