Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Una uhakika au una ushahidi?[emoji843] Hakuna Mtume mwarabu
[emoji843] Hakuna dini iitwayo ya kiislam iliwahi kuhubiriwa Wala kutabiriwa na manabii wa kiyahudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika au una ushahidi?[emoji843] Hakuna Mtume mwarabu
[emoji843] Hakuna dini iitwayo ya kiislam iliwahi kuhubiriwa Wala kutabiriwa na manabii wa kiyahudi
Makanisani wamesalimika?1. Mfalme dini gani?
2. Ana agenda gani ya kumuwazia mtoto (chini ya miaka 18) mambo ya mapenzi? He Madrasa watoto wapo salama?
Muarabu hana dini ukitaka ndio hvyo usitake ni hivyo hivyo tuuuDini ni ya muarabu boss. Utake ni hivyo usitake ni hivyo hivyo tuu
Kwa Taarifa yako asingekuja kutafuta watumwa Afrika hata hiyo unayoiita " dini yangu" Sasa hivi ungeisikia redioniMuarabu hana dini ukitaka ndio hvyo usitake ni hivyo hivyo tuuu
Kwa taarifa yako hata hao waarabu walikua na dini zao za kijinga kabla ya kuja uislamuKwa Taarifa yako asingekuja kutafuta watumwa Afrika hata hiyo unayoiita " dini yangu" Sasa hivi ungeisikia redioni
Toa uthibitisho wa hiki ulichoandikaTangu binadamu wa kwanza Adam.alihubiri Mungu mmoja.ambayo ndio shahada ya kuwa muislamu
Ndio, bwana yule aliibuka tayari manabii wote walishakuwepi, walishamaliza kazi Yao duniani akakusanya kusanya maneno kwenye tora ba bible ambavyo kabla ya kuleta hicho chake vilikuwepobtayari na jamii yake ilikuwa hazijui dini yoyote tofauti ya mawe ya kimila. Biashara na wajomba zake ugaibuni ndio zilimfumbua macho kuwa Kuna Mungu mmoja na vitabu vya dini. Hakusoma ila dlikuwa ana cramming capacity kubwa akisikia kimenasa. Akaja kuchanganya na yake paaa kawaambia kimeshushwaUna uhakika au una ushahidi?
Nyie wabarikiwa ndio mmebadili madaWavaa kobazi washabadili mada kumanyinya
angalia biblia na quran VYOTE KWA PAMOJA VINAHUBIRI UMOJA NA UPEKEE WA MUNGU.Toa uthibitisho wa hiki ulichoandika
Mungu wa Biblia na Quran ni huyohuyo?angalia biblia na quran VYOTE KWA PAMOJA VINAHUBIRI UMOJA NA UPEKEE WA MUNGU.
Huko sahihi.ndo maana nimekwambia mitume woteeee.walikuja kuhubiri mungu mmoja.Mungu wa Biblia na Quran ni huyohuyo?
Mimi mbona ni mlinzi, lakini sifaidi? Au watakuwa wananidharau kutokana na huu uzee wangu!Walinzi wanafaidi bwana.....
Hata nyinyi mlioruhusiwa kutifuana mitaro nyuma na pope pia sio malimbukeni wa dini maana dini zinakataza lakini nyinyi mmeruhusiwaWao siyo malimbukeni wa dini.
Unamaanisha kwamba Yesu na Allah ni mmoja?Huko sahihi.ndo maana nimekwambia mitume woteeee.walikuja kuhubiri mungu mmoja.
Nyie ni convert. Waislam ni Waarab tuHata nyinyi mlioruhusiwa kutifuana mitaro nyuma na pope pia sio malimbukeni wa dini maana dini zinakataza lakini nyinyi mmeruhusiwa
Hapo ushachanganya madawa.tutalipuka sasa hivi.soma aya ya 3Unamaanisha kwamba Yesu na Allah ni mmoja?
Kwa hiyo basi usilingamishe Biblia na quran maana havifanan na infact kimoja ni kitabu cha Mungu wa kweli na kingine ni kitabu cha shetani na kitabu kimoja kilianza kingine kikakopiwa kutoka kilichoanza kwa mistari mingi sana na tena aliyeliandika akapindisha maneno mengi tu.Hapo ushachanganya madawa.tutalipuka sasa hivi.soma aya ya 3