Mtawala Saudi Arabia Mohammed Bin Salman alivunjika moyo kujua wazi hatamuoa binti wa mfalme wa Dubai

Mtawala Saudi Arabia Mohammed Bin Salman alivunjika moyo kujua wazi hatamuoa binti wa mfalme wa Dubai

Kwa hiyo basi usilingamishe Biblia na quran maana havifanan na infact kimoja ni kitabu cha Mungu wa kweli na kingine ni kitabu cha shetani na kitabu kimoja kilianza kingine kikakopiwa kutoka kilichoanza kwa mistari mingi sana na tena aliyeliandika akapindisha maneno mengi tu.
Ukirudi kwemye point zangu za juu..nimeeleza vizuri.kuwa ujumbe wa kila mtume ni kuhubiri MUNGU MMOJA.sasa Muhammad na yesu watatofautiana vipi wakati wamepewa ujumbe mmoja?na ndo maana hata vitabu vyao vinafanana.kama wasingekuwa na ujumbe mmoja vitabu walivyopewa visingefanana.sijui umeelewa?
 
Kwa hiyo basi usilingamishe Biblia na quran maana havifanan na infact kimoja ni kitabu cha Mungu wa kweli na kingine ni kitabu cha shetani na kitabu kimoja kilianza kingine kikakopiwa kutoka kilichoanza kwa mistari mingi sana na tena aliyeliandika akapindisha maneno mengi tu.
Alafu Muhammad s.a.w.hakuwa anajua kusoma wala kuandika.ukisema alocopy quran kwenye biblia utakuwa unakosea.mana hata yeye kafundishwa.yeye alikuwa anakariri anachoambiwa anakwenda kuwaambia watu.na mungu alijua hilo kuwa mtakuja kusema kacopy ndo maana akamfanya asijue kusoma wala kuandika. Kwa hyo hoja yako kuwa Muhammad kacopy quran kwenye biblia HAINA MASHIKO
 
Alipewa zawadi na ufalme wa Jordan kuimarisha uhusiano. Ni binti wa marehemu king Hussein wa Jordan mdogo wake king Hussein sasa hivi.
Basi wenda hicho ndo kinacho mlinda kwa sababu ya mahusiano yaliyopo kati ya UAE na Jordan.
 
Huyo hapo nyuma kambeba kijana wake. Inasemekana walinzi wengine walimuonya jamaa anachofanya nikinyume na maadili ya kazi hakusikia. Mspenzi yalinoga hadi Hawa akamnunulia jamaa nyumba, Saa ghali za Rolex na range. Ila sasa hivi anaishi kama digidigi akihofia maisha yake yeye anavyodai.View attachment 2900817

View attachment 2900822
Women eeh! Yaani mlinzi kapewa mbususu na kuhongwa range. Aisee usimuonee huruma kiumbe anaifwa mwnamke...yaani wee mkule alafu mtupe kule usisahau na kumtemea mate kabisaaa
 
Hapo mungu hawezi kuwa mmoja.si unaona zipo nafsi 3.soma aya ya 3.yesu anasemaje hapo?
Mungu Mmoja Baba Mwana Na Roho Mtatatifu na sio yule wa Kaaba Al lah aliyeabudiwa na Babu Yake Mohamadi.
 

Attachments

  • Screenshot_20240211_182803_Biblia Takatifu.jpg
    Screenshot_20240211_182803_Biblia Takatifu.jpg
    131.8 KB · Views: 2
Mungu Mmoja Baba Mwana Na Roho Mtatatifu na sio yule wa Kaaba Al lah aliyeabudiwa na Babu Yake Mohamadi.
Kula aya kijana hizo.alafu uniambie kuna kitabu gani kizuri kuishinda Qur'an. MNAFELI WAPI
 

Attachments

  • Screenshot_20240211_220136_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20240211_220136_Samsung Internet.jpg
    120.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240211_220233_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20240211_220233_Samsung Internet.jpg
    124.5 KB · Views: 2
Uislam sio dini ya muarabu.maana kuna mitume ya kiyahudi ilikuja kutangaza uislam.utume na kutangaza mungu mmoja hyo kazi ilianza kwa Adam,akaja,lutwi,nuhu ukaenda akaja Ibrahim na watoto wake ikaja kwa wajukuu zake.ikapotea ikarudi tena kwa musa,zakaria,akaja yahaya ikaja kwa yesu mpaka ikamfikia Muhammad. Utasemaje uislam ni dini ya muarabu?au dini ya Muhammad.?
Unaitwa mjinga Mimi 🤣 🤣 🤣
 
Waarabu wa bongo bana! Wanajiona wao ndio wanajua uaraaabu, wanajifunika nguo gubigubi, kwa Wana wake. Wanaume vipedo na furushi la midevu lakini ona wenye dini na Mila zao wanakula Raha wewe wamekuachia utumwa. Eti unasubiri firidausiii .....ogopa
Wazungu kuna wakristo safi na pia kuna washenzi wasiokuwa na dini na wapjnga kristo na pia waarabu kuna waislamu safi na kuna washenzi wasiodini kinachoangaliwa sio race bali imani na mafunzo yake na watu hawafuati aina ya race bali maandiko ya mungu .
 
Mzuka wanajamvi.

Mtawala wa Saudi Arabia Mohammed Bin Salman (MBS) aliahidiwa na mtawala wa Dubai al maktoum atamtunukia binti yake amuoe.

Lakini baada ya mtawala wa Dubai kugongewa mkewe Haya bint Hussein na mlinzi ndoto za MBS zikatoweka baada ya Hawa kutorokea uingereza na huyo binti pamoja na mdogo wake.

Inasemekana MBS ali huzunika sana. Hako kasichana ni pisi balaa.

Mfalme/mtawala wa Dubai na familia ya Salman ni marafiki wakubwa sana. Na walitaka kuimarisha urafiki zaidi bond kwa MBS kuoana na hako kabinti ambaye sasa hivi ni miaka 17.

Source: mama yake huyo binti Haya binti Hussein ambaye ni mdogo wake king Hussein wa Jordan alipokuwa akitoa ushaidi mahakmani uingereza.

View attachment 2900801View attachment 2900802
Mrembo kweli kweli huyo binti....hata mimi ningehuzunika.
 
Waarabu wa bongo bana! Wanajiona wao ndio wanajua uaraaabu, wanajifunika nguo gubigubi, kwa Wana wake. Wanaume vipedo na furushi la midevu lakini ona wenye dini na Mila zao wanakula Raha wewe wamekuachia utumwa. Eti unasubiri firidausiii .....ogopa
Yaani jua na joto kali la Dar , lakini mtu amejifungia maushungi kama mashuka tena meusi! nawanaonea huruma sana.
 
Of course mama yake huyo mama; I mean mke wa Hussein bibi yake hicho kibinti ni mwingereza pure! So, huyo mama mke wa Maktoum Uingereza ni kwa wajomba zake. Yuko ujombani na unajua nguvu za wajomba.
Asante mkuu nimeangalia hizo nywele nikajiuliza mbona siyo za kiarabu.
 
Back
Top Bottom