kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Mtayarishaji wa kipindi cha watoto hafai kwa sababubu anapendelea shule za kiislaam tu.
Kila jumapili kipindi cha watoto utaona amechagua shule au watoto wa kiislam tu. Utakuta wahusika wamevaa wote hijab kama yeye.
Tunataka atambue wazazi walio nyumbani sio wote wanataka watoto wao kuoa aina hiyohiyo ya utamaduni.
Wangependa kuona kipindi hicho kinaonyesha hali halisi ya malezi mchanganyiko wa imani za watanzania.
Kama Shinuna hawezi leta kipindi cha kuonesha mchanganyiko wa tamaduni za watanzania wote inafaa aachie ngazi kwa kipindi hicho.