Mtayarishaji wa Kipindi cha Watoto TBC ana ubaguzi

Mtayarishaji wa Kipindi cha Watoto TBC ana ubaguzi

Kama una macho ya kuona Sasa hivi TBC wanaonyesha zaidi mambo yanayohusu UISLAM au yanayokalibiana na UISLAM kuliko kipindi cha Miezi Nane/ Tisa iyopita.
Miezi nane/Tisa iliyopita walikuwa wanaonyesha mambo yanayohusu dini gani?
Ulilalamika au ulipongeza?
Tuache malalamiko yasiyoongeza tija kwenye maendeleo na uhai wa Taifa letu.
 
Maajabu haya yaan mtu kafungua uzi anachukia mtu kujistiri,anataka vipind vya watoto wawe wamevaa vimini ndo ajue hao watoto ni wakikristo,kwahyo watoto wakivalishwa vimibato pamoja na mawigi wakaonekana kwenye kideo ndo wewe huku unapata amani ya moyo kwamba dini yako imekumbukwa .. !!! Mnajizaraulisha bure kwa chuki za kidini
 
Mtayarishaji wa kipindi cha watoto hafai kwa sababubu anapendelea shule za kiislaam tu.

Kila jumapili kipindi cha watoto utaona amechagua shule au watoto wa kiislam tu. Utakuta wahusika wamevaa wote hijab kama yeye.

Tunataka atambue wazazi walio nyumbani sio wote wanataka watoto wao kuoa aina hiyohiyo ya utamaduni.

Wangependa kuona kipindi hicho kinaonyesha hali halisi ya malezi mchanganyiko wa imani za watanzania.

Kama Shinuna hawezi leta kipindi cha kuonesha mchanganyiko wa tamaduni za watanzania wote inafaa aachie ngazi kwa kipindi hicho.
Unauhakika hana maelekezo toka juu? Kabla ya kumlaumu chunguza kwanza.
 
Wakati wetu na sisi tulieni hvyo hvyo kipindi mnaweka injili sisi tulikaa kimya kuweni wavumilivu kutesa kwa zamu.
 
Mtayarishaji wa kipindi cha watoto hafai kwa sababubu anapendelea shule za kiislaam tu.

Kila jumapili kipindi cha watoto utaona amechagua shule au watoto wa kiislam tu. Utakuta wahusika wamevaa wote hijab kama yeye.

Tunataka atambue wazazi walio nyumbani sio wote wanataka watoto wao kuoa aina hiyohiyo ya utamaduni.

Wangependa kuona kipindi hicho kinaonyesha hali halisi ya malezi mchanganyiko wa imani za watanzania.

Kama Shinuna hawezi leta kipindi cha kuonesha mchanganyiko wa tamaduni za watanzania wote inafaa aachie ngazi kwa kipindi hicho.
We nae huna akili, unaangalia TBC kweli, TBC wanaangalia ccm kindakindaki hiyo ni station ya chama sio ya Taifa

Kama huwezi kubadilisha chanel Malalamiko peleka lumumba
 
Back
Top Bottom