Mtazame huyu mwimbaji mwenye Magongo, Alafu jifunze kitu!

Dalton Elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
968
Reaction score
1,978
Aict Nyamikoma Choir wakiwa wanaimba katika Kanisa la Africa Inland Church Tanzania Buswelu Dayosisi ya Mwanza.Mtazame huyu mwimbaji mwenye magongo, anamtumikia Mungu kwa Furaha.

Sijui Wewe utumishi wako mbele za Mungu ni furaha au majuto?
CC.Inland tv
 

Attachments

  • 1775485556363.publer.com.mp4
    10.2 MB
Wakati mwingine mungu hutupa mitihani ili kutu-control kutokana na matendo yetu, sio kwa nia mbaya but huyo mbwana anajeuri sana.

Ukikuta anaendesha pikipiki utadhani ana viungo kamili,mtu aweza muonea huruma but ana jeuri sana huyu mtu,Kuna wakati wakazi wana shukuru kwa yeye kuwa hivyo kutokana na matendo yake.
 
Eeh....!
 
Kuna wakati Mwamposa aliwaponya mamia ya viwete wenye magongo kule Songea! Hivi haiwezekani tukampelekea na huyu ili akapate uponyaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…