Mtazamo binafsi: Wasichana wengi waliomaliza vyuo vikuu ni mizigo na hawafai kuolewa!

Hizi mada za generalization zinaletwa na watu wenye sonona ama short minded people na wasiojiamini,wao hukurupuka na kuendeshwa na hisia zao na wala wao hawana mda wa kufanya utafiti.
Naomba kuishia hapo lakini kwa uzi huu nishajua mleta uzi ni mtu wa aina gani
 
Hivi siku hizi kuna watu wanaishia la saba, mi nadhani wengi wanaishia form four
 
Ila mleta mada kasema ukweli, wasichana wengi waliohitimu vyuo ni majanga tupu. Mtu kajipatia ka-BA kake anajifanya hajuwi kuongea lugha yake ya taifa na kupika wala hajuwi, atakuambia yeye alizoea kula chips mayayi na kuku wa kukaanga wakati hali halisi ya kwao ni shida tu, yaani wako so fake. Eti mtu anaona fahari kuongea broken English ili tu watu wamuone amehitimu chuo kukariri vitu asivyovijuwa.
 
....umeua Bendi Mkuu.....
 
Wa madegree ni wa kutafuna na kukaa pembeni. Hihihiiii
 
Too generalized. Weka utafiti wa kina. Nadhani hapa tatizo si kiwango cha elimu bali ubora au ubovu wa malezi. Kuna jamii zina tabia mbaya kama zile zinazoamini katika pesa babangu.
 

Bila shaka wewe ni mhitimu wa chuo, itakua imekuchoma sana. ALakini kwanini ikuchome, kwani wewe ni miongoni mwao?
 
Unatakiwa uwe na wake watatu wakwanza awe aliyesoma kiwango cha kati, wapili awe darasa la 7 na watatu awe aliyesoma mpaka chuo kikuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…