Mtazamo binafsi: Wasichana wengi waliomaliza vyuo vikuu ni mizigo na hawafai kuolewa!

Mtazamo binafsi: Wasichana wengi waliomaliza vyuo vikuu ni mizigo na hawafai kuolewa!

Hizi mada za generalization zinaletwa na watu wenye sonona ama short minded people na wasiojiamini,wao hukurupuka na kuendeshwa na hisia zao na wala wao hawana mda wa kufanya utafiti.
Naomba kuishia hapo lakini kwa uzi huu nishajua mleta uzi ni mtu wa aina gani
 
Ndoa haina kanuni, kuna waliooa wenye degree na maisha yanaenda safi kabisa , kuna waliooa la saba wakiamini kwa level yao ya elimu watakua submissive lakini wakakuta patupu. pia kuoa mke uliyemzidi sana elimu ni tabu. Mnapishana sana kwenye uelewa na uwezo wa kuchanganua mambo. Ukimkosoa ataona unamdharau sababu umemzidi elimu, wengi wao upeo wa kufikiri upo chini. Elimu inasaidia kufuta ujinga, wengi wao wako na ka ujinga flani hivi kwenye mindset zao
Hivi siku hizi kuna watu wanaishia la saba, mi nadhani wengi wanaishia form four
 
Ila mleta mada kasema ukweli, wasichana wengi waliohitimu vyuo ni majanga tupu. Mtu kajipatia ka-BA kake anajifanya hajuwi kuongea lugha yake ya taifa na kupika wala hajuwi, atakuambia yeye alizoea kula chips mayayi na kuku wa kukaanga wakati hali halisi ya kwao ni shida tu, yaani wako so fake. Eti mtu anaona fahari kuongea broken English ili tu watu wamuone amehitimu chuo kukariri vitu asivyovijuwa.
 
Acha uwoga mwanamke wako mwenyewe unashindwa kumcontrol elimu haina nafasi kwenye ndoa mnyooshe ukilegea we ndio atakunyoosha kingine tafuta pesa we unapiga hesabu za kukaanga mihogo.

We unafkiri aliruka tu toka utotoni chuo afu kwako hapa katikati ameshatumika na watu kibao wenye fedha, wahuni, walevi ndio na wewe mcha mungu ukampata kwa hiyo ana experience kibao. Ukimwacha sisi tunamdaka na kumla tenah kiustadi [emoji39][emoji39]
....umeua Bendi Mkuu.....
 
Wa madegree ni wa kutafuna na kukaa pembeni. Hihihiiii
 
Mada iko nyepesi kabisa vijana wakiume tukimbilieni darasa la Saba au kidato cha nne aliyeshindwa Kwani wengi wao ndo wake sahihi ukimkuta mwenye dini.

Msichana wa chuo kikuu anaamini ndo ni smartphone na kuweka bando tu kucheki sinema.

Wanajua out Mara zawadi eeeh za kitoto kabisa lakini hawawezi hata kukaanga mihogo maana wanataka biashara za vyumba vya kukodi.

Ushauri wangu
Vijana mkubali kufa na utamu wako kuliko kutafuta mke wa chuo kikuu utajuta ndugu, waacheni hao waolewe na elimu zao!?

Too generalized. Weka utafiti wa kina. Nadhani hapa tatizo si kiwango cha elimu bali ubora au ubovu wa malezi. Kuna jamii zina tabia mbaya kama zile zinazoamini katika pesa babangu.
 
Hizi mada za generalization zinaletwa na watu wenye sonona ama short minded people na wasiojiamini,wao hukurupuka na kuendeshwa na hisia zao na wala wao hawana mda wa kufanya utafiti.
Naomba kuishia hapo lakini kwa uzi huu nishajua mleta uzi ni mtu wa aina gani

Bila shaka wewe ni mhitimu wa chuo, itakua imekuchoma sana. ALakini kwanini ikuchome, kwani wewe ni miongoni mwao?
 
Unatakiwa uwe na wake watatu wakwanza awe aliyesoma kiwango cha kati, wapili awe darasa la 7 na watatu awe aliyesoma mpaka chuo kikuu.
 
Back
Top Bottom