Pumzika kwa amani Bro Ivan ila nimepata kujiuliza maswali mengi inakuwaje mtoto huyu wa Diamond kila anavyozidi kukua anakuwa kama analeta picha ya Ivan?
Binadamu wote ni sawa
Mwacheni mtoto afanane jamani si baba wa kaka zake huyo?.
Halafu haya mambo ya watoto sio ya kufuatilia sana yanatia presha ati bora kujinyamaziaga tu.
Anaejua baba wa mtoto ni mama pekee.
Wengine tunachangia humu huku moyoni tunawaza wale tuliowaacha home ni wetu kweli?
Basi tu kitanda hakizai haramu tunaleaga tu itajulikana mbinguni
Pumzika kwa Amani Bro Ivan ... Ila Nimepata Kujiuliza Maswali Mengi Inakuwaje Mtoto Huyu wa Diamond kila anavyozidi Kukua Anakuwa Kama Analeta Picha Ya Ivan
..