Mtazamo: Hivi kwanini mtoto huyu anafanana sana na Ivan?

Mtazamo: Hivi kwanini mtoto huyu anafanana sana na Ivan?

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,878
Reaction score
5,432
Pumzika kwa amani Bro Ivan ila nimepata kujiuliza maswali mengi inakuwaje mtoto huyu wa Diamond kila anavyozidi kukua anakuwa kama analeta picha ya Ivan?
fb8e67dd123c12dabb906346c1ff17bf.jpg
 
Binadamu wote ni sawa
Mwacheni mtoto afanane jamani si baba wa kaka zake huyo?.
Halafu haya mambo ya watoto sio ya kufuatilia sana yanatia presha ati bora kujinyamaziaga tu.
Anaejua baba wa mtoto ni mama pekee.
Wengine tunachangia humu huku moyoni tunawaza wale tuliowaacha home ni wetu kweli?
Basi tu kitanda hakizai haramu tunaleaga tu itajulikana mbinguni
 
Pumzika kwa Amani Bro Ivan ... Ila Nimepata Kujiuliza Maswali Mengi Inakuwaje Mtoto Huyu wa Diamond kila anavyozidi Kukua Anakuwa Kama Analeta Picha Ya Ivan
fb8e67dd123c12dabb906346c1ff17bf.jpg
..
Wewe unataka alete picha ya Jack chain?
 
Shavu tu hilo, Ivan ndo anafanana na mtoto kwa kuwa alikuwa na shavu la kitoto.
Kiasi aachwe, baba jitu zima shavu kama bado ananyonyaaa...chaaaa!
 
Back
Top Bottom