KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Na kweli naishi maisha yangu mkuu....lakini hili ni jukwaa huru kutoa maoni na mtazamoIshi maisha yako master
Hakika ndugu. Wanaume tumeumbwa kukabiliana na mikiki mikiki lakini tamthilia naona zinawafanya watu kuwa soft hiviWanaume tunaangalia movie za kivita
Kua soft ni kosa??Hakika ndugu...... wanaume tumeumbwa kukabiliana na mikiki mikiki lakini tamthilia naona zinawafanya watu kuwa soft hivi
🤣Wanaume tunaangalia movie za kivita
Hapana sio kosa....Kua soft ni kosa??
Ndio maana nikasema tunatofautiana na sio jambo kutofautianaMimi hadi katuni naangalia na sijali.
Sina fikra potofu ndio maana nimejisemea mtazamo wangu tu kama wewe ulivyo toa wa kwakohobbies haziwezi kuwa sawa kwa watu wote, ukilielewa hilo itakusaidia kutokuwa na fikra potofu.
Saaana mwanaume kuwa soft ndo nyie mkitingwa unalia na kulalia kifua cha mwanaume mwenzio kufutwa machoziKua soft ni kosa??
Mimi niliachaga kitambo sanaHabari za muda huu waungwana....
Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana.....
Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki musculine hivi....kwa mwanaume......limekaa sana kidada na kimama mama hivi.....
Hebu fikria Baba wa familia unagombea rimoti na watoto au mkeo kwa ajili ya tamthilia...
Mimi naona kama haijakaa Sawa......sijui nyinyi wenzangu......maana kila mtu na mtazamo wake....
Ukweli mtupu, kuna vitu vipo kike kike Sana! Tamthilia za kiswahili,za kutafsiri za Azam, comedies za kina joti, na upuuzi mwingine,Habari za muda huu waungwana....