Mtazamo korofi: Mwanamume kufuatilia tamthilia naona kama haijakaa sawa hivi

Last weekend nilienda kumtembelea jamaa kwake, ilipofika mida ya saa nane na nusu mchana akanambia tuhamie sebuleni maana kuna marudio ya tamthilia zake anazofuatilia.
Na mwamba aliwabadilishia watoto cartoon ili aangalie tamthilia za kina Gambo😂😂😂.

Japo ni tv yake na nyumba yake ila nilimuona bonge la kituko😂😂😂
 
Nimtazamo tu hata wewe ukisema hapa vitu unavyopenda kuangalia kuna watu watakushangaa pengine na kukudharau kabisa.
Kuna wengine hata time ya kukaa tu na kuangalia TV huo muda hawana wanashnagaa hivi mtu mzima anaotoa wapi muda wa kupoteza kwenye tv.
Kuna jamaa aliwahi kusema hivi hao mashabiki wa simba na yanga mbona wote kama machizi huo muda siwatumie kufanya vitu vya maana.
 
Habari za muda huu waungwana....

Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana.....

Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki musculine hivi....kwa mwanaume......limekaa sana kidada na kimama mama hivi.....

Hebu fikria Baba wa familia unagombea rimoti na watoto au mkeo kwa ajili ya tamthilia...

Mimi naona kama haijakaa Sawa......sijui nyinyi wenzangu......maana kila mtu na mtazamo wake....
Mkuu nakuunga mkono asilimia zote nilijua ni mimi tu napingana na hili kumbe tuko wengi
 
sasa mkuu hizo tamthilia hakuna wanaume humo wameigiza? kwa hiyo mwanaume kufuatilia ni kosa? thou huwa sifuatilii ila sioni kama kuna shida
Ni kweli mkuu wanaume hawakosekani ila maudhui yamekaa kike kike mno.

TV huwa naangalia napokutana nayo kwa bahati mbaya.

Mfano kuna tukio mahali na wameweka TV nitaangalia na wenzangu ila kusema niwashe niangalie mwenyewe hapana aisee.

Mimi naishauri serikali ianzishe wizara ya kina baba ili tuwe tunapeana semina humo. Naamini jamii itabadilika mno.
 
Nimtazamo tu hata wewe ukisema hapa vitu unavyopenda kuangalia kuna watu watakushangaa pengine na kukudharau kabisa.
Kuna wengine hata time ya kukaa tu na kuangalia TV huo muda hawana wanashnagaa hivi mtu mzima anaotoa wapi muda wa kupoteza kwenye tv.
Kuna jamaa aliwahi kusema hivi hao mashabiki wa simba na yanga mbona wote kama machizi huo muda siwatumie kufanya vitu vya maana.
Hakika ndugu lazima tukubali kutofautiana......
 
Ni kweli mkuu wanaume hawakosekani ila maudhui yamekaa kike kike mno.

TV huwa naangalia napokutana nayo kwa bahati mbaya.

Mfano kuna tukio mahali na wameweka TV nitaangalia na wenzangu ila kusema niwashe niangalie mwenyewe hapana aisee.
Duh!! Mkuu hata kuangalia TV kwako mwiko.....😀
 
Nadhani kila kitu na muda wake. Kuanzia 35 na kuendelea ukiona unaangalia series, tamthilia bila kisinzia basi una bahati mno, akili yako hijabeba mambo mengi mazito na upo idle kiasi kwamba huchoki.
 
Habari za muda huu waungwana....

Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana.....

Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki musculine hivi....kwa mwanaume......limekaa sana kidada na kimama mama hivi.....

Hebu fikria Baba wa familia unagombea rimoti na watoto au mkeo kwa ajili ya tamthilia...

Mimi naona kama haijakaa Sawa......sijui nyinyi wenzangu......maana kila mtu na mtazamo wake....
Heri anayetazama tamthiliya kuliko mwanaume unayeandika nukta nyingi kila baada ya maneno machache.
Ni urembo, ama?
 
Nadhani kila kitu na muda wake. Kuanzia 35 na kuendelea ukiona unaangalia series, tamthilia bila kisinzia basi una bahati mno, akili yako hijabeba mambo mengi mazito na upo idle kiasi kwamba huchoki.
Kwa maana hiyo mambo ya wavulana....😀
 
Habari za muda huu waungwana....

Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana.....

Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki musculine hivi....kwa mwanaume......limekaa sana kidada na kimama mama hivi.....

Hebu fikria Baba wa familia unagombea rimoti na watoto au mkeo kwa ajili ya tamthilia...

Mimi naona kama haijakaa Sawa......sijui nyinyi wenzangu......maana kila mtu na mtazamo wake....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mwanaume asiyependa mpira, hatoki ku mingo na wenzake, hatumii urabu - huyo ni tatizo.
 
Habari za muda huu waungwana....

Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana.....

Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki musculine hivi....kwa mwanaume......limekaa sana kidada na kimama mama hivi.....

Hebu fikria Baba wa familia unagombea rimoti na watoto au mkeo kwa ajili ya tamthilia...

Mimi naona kama haijakaa Sawa......sijui nyinyi wenzangu......maana kila mtu na mtazamo wake....
Hakuna u

Inategemeana na tamthilia gani ? Kama ni zabongo muvi sawa ...watu tuna angalia hadi katuni na midevu yetu ...ndiyo maana watoto wanatupenda sana watu msio ma genius amwezi kunielewa ...kipi bora kuangalia tamthilia au kupiga kelele mitaani mkibishania simba na yanga ? Hadi watoto wadogo wanamwona mzazi ni fara kwa kubishania simba na yanga ...siku mkibishana simba na yanga watazameni watoto wa miaka 8 hadi 12 mtaona wanavyo waona wapumbavu sema awasemi tu.
 
Back
Top Bottom