Mtazamo korofi: Mwanamume kufuatilia tamthilia naona kama haijakaa sawa hivi

Mtazamo korofi: Mwanamume kufuatilia tamthilia naona kama haijakaa sawa hivi

My ex wife yeye ana mtazamo kwamba hata status whats app ni kwa ajili ya wanawake naona kwasababu wanawekeana vijembe sana

Katu usiishi maisha yako kwa mitazamo ya watu wengine,,kama hampendi tamthilia ni tatizo lenu na sio letu period
 
Habari za muda huu waungwana.

Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana.

Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki-musculine hivi. Kwa mwanaume limekaa sana kidada na kimama mama hivi.

Hebu fikria Baba wa familia unagombea rimoti na watoto au mkeo kwa ajili ya tamthilia.

Mimi naona kama haijakaa sawa. Sijui nyinyi wenzangu maana kila mtu na mtazamo wake.
unajaribu kujiweka Kwa safe side mkuu.

kwa yote umeandika hapo juu ni kwamba umeshindwa kuelewa kuwa kila mtu ako na mtazamo wake mkuu.?

zaidi umeelezea tu vitu wewe hupendi wengine wanafanya.kama kweli unaishi kwa kuheshimu mitazamo ya watu usitake mitazamo yako ndiyo ionekane bora zaidi
 
Kama kuna,kaukweli kwa,mbali,ivi japo kuna,tamthilia zingine ni,za,kivita, mwa,mwi.
 
Habari za muda huu waungwana.

Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana.

Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki-musculine hivi. Kwa mwanaume limekaa sana kidada na kimama mama hivi.

Hebu fikria Baba wa familia unagombea rimoti na watoto au mkeo kwa ajili ya tamthilia.

Mimi naona kama haijakaa sawa. Sijui nyinyi wenzangu maana kila mtu na mtazamo wake.
Inategemea umekulia mazingira magumu kiasi gani. Kama kwenu TV ilikuwa anasa wakati unakuwa huwezi kuelewa
 
Ni kweli mkuu wanaume hawakosekani ila maudhui yamekaa kike kike mno.

TV huwa naangalia napokutana nayo kwa bahati mbaya.

Mfano kuna tukio mahali na wameweka TV nitaangalia na wenzangu ila kusema niwashe niangalie mwenyewe hapana aisee.

Mimi naishauri serikali ianzishe wizara ya kina baba ili tuwe tunapeana semina humo. Naamini jamii itabadilika mno.
mbona mpira wanaocheza wanawake, unafuatiliwa na wanaume
 
Tuwekeze nguvu kushauri watu kuhusu Magonjwa ya Zinaa
Mungu
Hayo mengine tuwaache watu wafanye waonavyo ni sawa kwao na Mungu au mungu wao
kuna ugonjwa unaitwa pangusa huu ukichelewa kichwa cha mboo kinakatika
 
mbona mpira wanaocheza wanawake, unafuatiliwa na wanaume
miaka ya nyuma...tukiwa sekondari...mechi za netiboli kuna wazee walikuwa wanaacha ofisi zao na kuja kushangaaa......guess what?????
 
Unamawazo sawa kufuatilia sio kosa kosa ni kuwa zinakurudisha nyuma mwanaume kimaendeleo kias chake namana Manzi na watoto wakiangalia ikifika muda wa mlo watakuangalia Baba sasa siku nzima biashara utaifanyaje kwa umakini
 
Inapendeza ukiishi maisha yako,halafu ukija kugundua watu wanaishi maisha yao,utakuwa umechelewa sana kujitambua.

Tusipangiane namna ya kuutumia muda wangu binafsi.
 
NImeipenda hii mzee wa hovyo

Wasituchagulie mambo katika maisha yetu

Mimi naangalia Evermore azam two na Alparsalan,kama kuna mwenye shida na hilo pm iko wazi
Hahaha....... kwahiyo upo tayari nikianzisha harambee ya kuchangia tumlipe Kibatala atutetee kwenye hili utachangia??

Maana Wanaume wa DSM tumezidi kuonewa haki ya nani 😅
 
Hahaha....... kwahiyo upo tayari nikianzisha harambee ya kuchangia tumlipe Kibatala atutetee kwenye hili utachangia??

Maana Wanaume wa DSM tumezidi kuonewa haki ya nani 😅
Usihofu legend tupo pamoja,wamezidi kutufuatilia aisee
 
Siyo mbaya kwasababu kwemye hizo Tamthilia kuna Wanaume pia wanaoigiza.
 
miaka ya nyuma...tukiwa sekondari...mechi za netiboli kuna wazee walikuwa wanaacha ofisi zao na kuja kushangaaa......guess what?????
ndio maana nimeuliza,maana mitizamo mingine ni ya kuiangalia, yaani et kufuatilia tamthilia iwe imekaa kiuwanawake, wakat kuna tamthilia tamu kabisa, kuna tamthilia ilikuwa inaita Razia, mke wangu alinishawishi weee mpaka siku nikaiangalia baada ya kuonja utamu nikawa nawah kurudi home niangalie na mke wangu, mke anafurah uwepo wangu home, sasa ikawa mimi ndo naiulizia kama nimekosa namwambia anisimulie ilikuaje
 
Back
Top Bottom