Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Binafsi yangu napenda kitu chenye uhalisia au kinachonifundisha kitu flani. Mfano fiction series ambazo wengi wanaziona ni masculine kwa sababu ya teknolojia ila binafsi sioni value yoyote katika kuangalia vitu vya kufikirika
Lakini pia naangalia series au movie kutokana na mood. Siku nikichoka na staki kutumia ubongo naweza tafuta hata love story
Na hata nikikuta watu wanaangalia tamthilia ya kibongo kama juakali ambayo ina story line nzuri ntaangalia pia.
Ila kama wewe ni baba wa familia, ni muhimu kujua familia yako inaangalia nini kwa sababu ukikaa pembeni, nani atajua