Mtazamo korofi: Mwanamume kufuatilia tamthilia naona kama haijakaa sawa hivi

Mtazamo korofi: Mwanamume kufuatilia tamthilia naona kama haijakaa sawa hivi

Ukweli mtupu, kuna vitu vipo kike kike Sana! Tamthilia za kiswahili,za kutafsiri za Azam, comedies za kina joti, na upuuzi mwingine,
Mwanaume fatilia siasa, uchumi, au, movie za kibabe, Den of thieves, Night has fallen!
Sasa hivi Kuna moja naifatilia Azam TV inaitwa snowfall
 
Je mtazamo wako ni kutokana na maudhui na ubora wa tamthilia za hapa ndani?
Je sisi tunatakiwa kufuatilia Siasa hizi za chama, za Ukiwa hoja zenye nguvu, unatekwa!?
Au wanaume wanatakiwa kuangalia Ponografia?

Pengine hoja yako iwe, Mwanaume awe na TV set chumbani kwake.
 
Tamthilia kama 24hrs, jinsi Jack Bouer alivyovjeza ile series hata kama mtu ana jinsia ya malaika anaangalia tu.

Nadhani aina ya tamthilia pia, hizi za Huba ndio unaweza kufanya argument ila kuna tamthilia zipo masculine sio poa.
 
Asilimia kubwa kutokana na michango ya wadau nimegundua wakina nani wanaogopa Mende na Panya na wA wale specialist wa kuuwa Nyoka mtaani haya vita viendelee.
😂😂😂😂 Vijana wengi wa kiume mna ujinga mwingi sana. Kuogopa mende na panya au nyoka kunahusiana vipi??

Inabidi tujitahidi kua open minded, tusizifunge akili zetu kwa story za vijiweni.
 
😂😂😂😂 Vijana wengi wa kiume mna ujinga mwingi sana. Kuogopa mende na panya au nyoka kunahusiana vipi??

Inabidi tujitahidi kua open minded, tusizifunge akili zetu kwa story za vijiweni.
Sawa kijana wa kike nimekuelewa ila kaka zako waoga waoga ndo hawa wanaaminishana ujinga eti watu wakatae ndoa huwezi kuwa mwanaume shabab alafu uogope mende unashinda kwenye kideo eti unafuatilia tamthilia ili ugundue nini?
 
Ndio maana mnakufa mapema ili kuonesha ushababi msiokua nao.

Dunia ishabadirika muda mrefu sana ninyi bado mnaishi zama za babu zenu kuua nyoka na mende, unaishi wapi huko mnakozungukwa na mijoka na mende??
Kua smart, sio miguvu ili kuprove uanaume, kuangalia tamthilia hakumuondelei mtu uanaume wake.

Kuna watu hawaangalii kabisa vipindi vya tv, kuna wasiosikiliza kabisa redio, kuna wasiotumia social networks kabisa, mwingine atakwambia usipoangali horror movies wewe sio mwanaume and the list goes on..

Ni chaguo la mtu wala haihusiani na jinsia.
 
We endeleA kuangalia nani kakukataza ila nilichosema ni ukweli we kula chips yai tena kwa mkono wa shoto hata wakina anti naniliu kunaniliwa hakuwaondolei uwanaume wAo na kuwA wanawake kwa hiyo hata wewe ukiamua kufanya Tabia zako kike haitokuondolea Uwanaume wako utabaki na uwanaume wAko za kuning'inia zitakuwepo fimbo itakuwepo wala usiogope we endelea mkuu.
 
Nakula chips yai atleast kilasiku. Wewe endelea kushikilia ujinga.
 
Tamthilia kingereza SIO ndio series?au nimekosea it's meaning may be hauna sehemu ya kwenda
 
Mtoa mada sijakuelewa, yaani ulitaka kuelimishwa ama ulitaka kujua maoni ya watu wengine, kama ni kuelimishwa basi usipingane na wanaokueleisha, na kusema ni maoni yako mwenyewe, jaribu pia kupokea maoni yetu na uelimike.
Kuna faida nyingi sana kwenye kuangalia tamthilia
Faida ni kwamba baadhi ya tamthilia zina mengi ya kujifunza na yanaweza kukusaidia kuelewa mambo fulani vizuri zaidi.
 
❌❌❌❌❌❌❌❌
 
Inategemea na maudhui ya tamthiliya yenyewe. Mimi napenda za action au zile za kijasusi lakini naweka kwenye lap top naangalia mwenyewe kwa muda wangu. Ila zile za wakina othman bey kila saa 4 usiku uwe mbele ya tv siziwezi, zile za bongo magic huba n.k ndio siziwezi kabisaaa
 
Mimi nikiwa site na nipo free usiku wifi la Bure nikuingia YouTube tu kuangalia action mwanaume anatoa damu hii ndo Raha yangu. Hizo za kwenye Tv Sina habar nazo kabisa.
Za wamama kwanza nikikaa Watoto Huwa wananishangaa.
 
Niache kuangalia BEN TEN kisa utakuja kunianzishia uzi?
 
Habari za muda huu waungwana.

Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana.

Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki-musculine hivi. Kwa mwanaume limekaa sana kidada na kimama mama hivi.

Hebu fikria Baba wa familia unagombea rimoti na watoto au mkeo kwa ajili ya tamthilia.

Mimi naona kama haijakaa sawa. Sijui nyinyi wenzangu maana kila mtu na mtazamo wake.
Sijui kwanini nahisi na wewe upo kwenye hiyo kundi?!
 
Watu wanao angalia tamthilia Ni wale wenye mashati ya vitenge sare na magauni ya wake zao.
Wakienda kanisani wanakua Benet na wake zao. Hawana sauti mbele za wake zao. Wamepigwa marufuku kwenda bar. Hawali hotelini muda wa kazi, wakitoka kazini straight home na kupiga vistori na wake zao. Hawana michepuko Wala hawajui ladha ya single mazas.
Fedha zao wanatunziwa na wake zao. Mara nyingi utakuta wake zao hawaelewani na dada za mume au ndugu kwa ujumla.
 
Hii kitu haiko sawa..... Tena unakuta baba mwenye nyumba..... Kiongozi wa familia anafuatilia nakusimulia hadi anatabiri kitakachotokea kwenye episode zinazofuata..... Hii kitu ilinifanya niache kulipia vifurushi ili watoto wabaki na mambo ya msingi kama kujifunza kazi za mikono na kujisomea...
 
Back
Top Bottom