Mtazamo korofi: Mwanamume kufuatilia tamthilia naona kama haijakaa sawa hivi

Habari za muda huu waungwana.

Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana.

Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki-musculine hivi. Kwa mwanaume limekaa sana kidada na kimama mama hivi.

Hebu fikria Baba wa familia unagombea rimoti na watoto au mkeo kwa ajili ya tamthilia.

Mimi naona kama haijakaa sawa. Sijui nyinyi wenzangu maana kila mtu na mtazamo wake.
inategemea na tamthilia mkuu. mm nafuatilia kwa sasa Paris has fallen na From season 3 hatari...
 
Habari za muda huu waungwana.

Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana.

Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki-musculine hivi. Kwa mwanaume limekaa sana kidada na kimama mama hivi.

Hebu fikria Baba wa familia unagombea rimoti na watoto au mkeo kwa ajili ya tamthilia.

Mimi naona kama haijakaa sawa. Sijui nyinyi wenzangu maana kila mtu na mtazamo wake.
Mkuu ungekua unatuwekea na salio azam tv
 
Muda ni mchache sanaaaa TAMTHILIA NI WATOTO/na mama yao,,, huo muda naupata saa ngap,,?? hakuna mwanaume anaye angalia TAMTHILIA
 
Wanaume tunaangalia jua. Mambo ya kuangalia vitu laini laini kama TV au kioo sio uaskari.
 
Habari za muda huu waungwana.

Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana.

Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki-musculine hivi. Kwa mwanaume limekaa sana kidada na kimama mama hivi.

Hebu fikria Baba wa familia unagombea rimoti na watoto au mkeo kwa ajili ya tamthilia.

Mimi naona kama haijakaa sawa. Sijui nyinyi wenzangu maana kila mtu na mtazamo wake.
Mwanaume anatakiwa kuangalia jinsi Hamas na Hizbollah wanavyompiga Mande Israel au Putin anavyo wabinya kende wanamgambo wa Ukraine
 
Muda mwingine unaweza kujifanya una misimamo kumbe ni misimamo ya kijinga.. Sasa mtoto wa kiume unaangalia tamthilia nzima imejaa maudhui ya mapenzi, mwanaume ni kitu gani haukijui kuhusu mapenzi na mahusiano. Harafu kwanini unaruhusu mwanao ambaye ni chini ya miaka 18 ajihusishe na hizo tamthilia.
 
Hakika ndugu. Wanaume tumeumbwa kukabiliana na mikiki mikiki lakini tamthilia naona zinawafanya watu kuwa soft hivi
Tatizo ni ujinga tu, hata maana ya tamthiliya hujui.

Hujui kwamba inawezekana ikawepo tamthiliya ya vita.

Na hiyo masculinity mnayoisema ukiichunguza sana ni mnajimwambafy kijinga kimfumodume tu.
 
Muda mwingine unaweza kujifanya una misimamo kumbe ni misimamo ya kijinga.. Sasa mtoto wa kiume unaangalia tamthilia nzima imejaa maudhui ya mapenzi, mwanaume ni kitu gani haukijui kuhusu mapenzi na mahusiano. Harafu kwanini unaruhusu mwanao ambaye ni chini ya miaka 18 ajihusishe na hizo tamthilia.
Waacheni watu waishi wanavyotaka.

Sasa unataka kulazimisha mtu apende asichopenda kwa sababu ni mwanamme?
 
Inategemea na genre ya tamthilia na hilo neno lilivyozoeleka. Bila shaka utakuwa unaongelea genre ya romance ambazo ni kweli zimekaa kimama. Lakini sio kila tamthilia, sababu hata Breaking Bad, Better Call Saul na Prison Break ni tamthilia vilevile, sema wenyewe tunaziita series ili kutoelewana vibaya.
 
Vp PRISON BREAK au CRIMINAL CODES ? bado unaonaga umama kwenye hiyo mizigo
 
Wanaume shupavu na timamu hatuwezi kuketi na kuangalia Maigizo ya mapenzi yaliyosheheni ushoga na udada dada.
We learn the hard way to be Gents, Head Up Creds✊️
 
Katuni naangalia sana. Ila siwezi angalia tamthilia na bongo movies. Ni umama kwa kweli.
 
Naangalia series, ingawa siku hiI muda umekuwa mdogo,

Hizi za wafilipino, waturuki zimenipita kuhoto kabisa
Series siyo Tamthilia, kinacho zungumziwa hapa ni "Drama" or"TV Darama" au "TV Play" ingawa vina series
 
🫡
 
Attachments

  • fb_1731470667809-9009383528.mp4
    177.5 KB
Inategemea na aina ya tamthilia, point yake imelenga kwenye love story series.
Huwezi nambia kuangalia series km Breaking bad, Gangs of London, SILO, Paris has fallen, Criminal codes, Godfather of Harlem, n.k. eti ni ushamba
 
Tatizo ni ujinga tu, hata maana ya tamthiliya hujui.

Hujui kwamba inawezekana ikawepo tamthiliya ya vita.

Na hiyo masculinity mnayoisema ukiichunguza sana ni mnajimwambafy kijinga kimfumodume tu.
Unaweza tu kutoa maoni yako na yakaheshimiwa pasi na kutoa lugha chafu.....hapa ni jukwani tu kila mmoja ana maoni na mtazamo wake
 
Back
Top Bottom